Siyo tunafurahia........kwahio mnafurahia kwamba ndege hazitui
yani wewe nchi yako ikipata shida ni furaha kwako ,
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hii hatari, maana yake hata Tundu AL tusimtegemee, hana ndege ya kumleta😀😀Tulimsikia Mheshimiwa Rais akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini
Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na wafanyibiashara mbalimbali.
Bana likasi
Sasa ni kwanini Prezidaaa wetu katupiga "fix" kuwa ndege za kimataifa ziko fully booked hadi mwezi wa 8 kuwaleta watalii nchini kwetu??
kwahio mnafurahia kwamba ndege hazitui
yani wewe nchi yako ikipata shida ni furaha kwako ,
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa.Na istoshe utalii umeathirika dunia nzima sio Tanzania tuu. Na watalii wakianza kuja wataanza kidogokidogo. Tuwe wazalendo tusishadadie na kufurahia eti watalii hawatakuja. Watalii watakuja tuu. Mi Kuna wamarekani nawafahamu wanakuja huku October, na walishakuja tour huku January. Wanakuja sababu walipapenda. Kumbukeni Tz tuna vivutio special watalii watakuja tuuu.Weka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.
Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.
Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).
Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.
Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html
Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
Rais anapata habari za kuja watalii kutoka wapi? Kwa waziri? Hembu waulize wenye mahoteli makubwa ambayo kabla ya corona yalikua booked na baada ya corona watalii wameondoa booking zote! Waulize watalii wanakuja? Usidhani wanakuja kama wanaenda karikoo. Hata wenye vikampunk vidogo connection zap zinawaambia ishu zitakwenda sawa 2021. Sasa tunaleta siasa kwenye jambo la msingi inashangaza sana.Bana likasi
Sasa ni kwanini Prezidaaa wetu katupiga "fix" kuwa ndege za kimataifa ziko fully booked hadi mwezi wa 8 kuwaleta watalii nchini kwetu??
Hii point ifanyiwe na kazi na wizara husika.Watalii wao pia wana raha gani ya kula starehe na hali za uchumi zimetetereka jamani?
Mmh, hawahitaji kuona wanyama wengine, wanaye mnyama mpya CORONA, ngoja tuone kasi ya fully booked.....
Katika mazingira ya kawaida tunapaswa tutafute namna nyingine ya kujipromote na kupromote huu utalii, siyo kusimama majukwaani na kuwatusi hao hao watalii kuwa nchi zao beberu.
Onyesha wakishuka airport kuna kinga au hatua zipi za dhati zitazingatiwa kuhakikisha SOSHO DISTENSI, KONTAKT TRESING, HOSPITAL FACILITIES in case wakiugua, n.k.
Everyday is Saturday.......................... 😎
MajulaoAliyeleta Uzi huu anaongea kiumbea umbea anazunguka zunguka! Sijui ana lengo gani! Ushauri; pendeni nchi yenu.
Tulimsikia Mheshimiwa Rais akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini
Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na wafanyibiashara mbalimbali.
Hata hivyo kimya kizito huko angani namna kulivyokuwa kweupe, ndiko kulikonifanya nilazimike kiandika "thread" hii.
Swali ninalojiulza sasa ni je hayo mashirika ya ndege, hayajamsikia Mheshimiwa Rais akizifungua anga za nchi yetu??
Ni jambo la wazi kuwa hayo mashirika ya ndege yamesikia tamko hilo la Rais, ila kama tujuavyo hayo mashirika ya ndege yanafanya biashara, huwezi kurusha ndege ya Boeing yenye kuchukua abiria zaidi ya 300, ukiwa umebeba abiria 5 kuja nchini, hakika safari hiyo hailipi, kwa maana nyingine utasitisha safari za namna hiyo.
Ukweli ni lazima tumwambie Mheshimiwa Rais kuwa zile propaganda zinazoiendesha nchi kwa hivi sasa haziwezi kufanya kazi huko kwenye anga ya kimataifa
Hivi unadhani mtalii gani toka kwenye nchi yoyote atakuja Tanzania kwa hivi sasa, nchi ambayo "imegoma" kutoa takwimu za ugonjwa wa Corona kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu hivi sasa??
Hivi Rais wetu anadhani kuwa dunia anaweza kuihadaa kirahisi rahisi, kama ambavyo anaweza kutuhadaa watanzania??
Tumemsikia wenyewe Waziri wa Maliasili na utalii, Dkt Hamisi Kigwangala, akionyesha kukatishwa tamaa na sekta ya utalii inavyoenda kwa hivi sasa!
Nashauri kama Taifa tuwe wasema kweli kwa mambo mbalimbali, ndipo tutapoaminika huko duniani
Kwa mwenendo huu tunaokwenda nao hivi sasa ya kila kitu tunapenda kupiga "fix" ndiko huku tulikolifikisha Taifa letu kwa hivi sasa

Unaongea mambo usiyoyajua kama vile una uhakika unayajua sababu unaendeshwa na hisia (emotions).Hawa waliletwa na shirika gani la ndege, au walikodi ya kwao kuja kutalii?
Mnapofanya kampeni hizi zisizokuwa na uhalisi wa mambo, msidhani kwamba nyinyi peke yenu ndio mnaoitakia Tanzania mema, na hao wengine wanaoangalia mambo kwa uhalisia wake kuwa hawana mapenzi na nchi yao.
Kuweni wakweli, msitafute kuhadaa watu kwa mambo ambayo hayapo.

Hiyo imehairisha, zipo nyingine zitakuja ni kawaida tu. Hakuna cha ziada au kigeni hapo.Hivi unajua KLM ilikuwa inakuja ila imeahirisha safari
Kauli kali hii.Wacheni huo upuuzi
Hiyo Link ya Qatar Airways hakuna available flight to Tanzania tarehe 16 JuneWeka akiba ya maneno usije ukaumbuka siku chache zijazo.
Jana jioni nimekaa sehemu pembezoni mwa Morogoro Road nimeona Land Cruiser ya utalii imebeba watalii.
Ukienda kwenye ukurasa wa twitter wa Qartar Airways utaona tangazo kuanzia tarehe 16 June 2020 wanaanza safari za kuja Tanzania (jiji la Dar es Salaam).
Nenda pale airport ya JNIA kuna kampuni ya LSG Skychefs wameambiwa na kampuni flani kubwa ya ndege wataanza kuchukua huduma zao za inflight catering tarehe hizo nilizotaja hapo juu.
Nenda Zanzibar utaona pilikapilika zinazo endelea uwanja wao wa ndege wa kimataifa.
Qatar Airways announces resumption of flights to Tanzania
https://www.qatarairways.com/en-tz/homepage.html
Siasa zisizidi uwezo wetu wa kuchanganua mambo, kutafakari na kutafuta ukweli.
Watu wenye akili kama za Samaki Mfano wa Titicomb ndio hubebaga kila akisemacho JiweTena alitangaza kwamba ziko 'fully booked' hadi Oktoba!
Hizi ndege zenye wasafiri wengi kiasi hiki ziko wapi, mbona haziji?
Hizi komedi za siku hizi hata kucheka inashindikana kwa wanaozisikiliza.