Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

Nimegundua mtoa mada hajui hata kitu alichoandika mwenyewe..

MOLA AMSAMEHE
 
Tuongee wazi kua mnafurahia sana tukipata shida, hakuna fix zozote ambazo tumepewa, ni jambo zuri kwamba anga limefunguliwa, na ukifungua anga usitegemee kua kesho ndege zinatua kwa fujo, ni safari za kupanga, na utalii umeyumba duniani kote na sio tanzania tu, Rais wetu kua positive nyie mnaona ni fix mana hamna hata chembe ya shukrani na muda wote mnaiombea mabaya nchi.
 
Naona unawashwa washwa tu bila sababu
Kauli kali hii.
Sijapendezwa nayo, ongea hoja tu bila matusi tutaelimishana vizuri sana.
Hoja ikiwa nzito na ya kweli inaeleweka kirahisi mno, matusi na nguvu kubwa kupitia maneno makali ni dalil ya kukosa hoja.
 
Wacha masihara. Unafungua ulichofunga. Nani alifunga anga? Ndege haziji si kwa sababu tulizifungia. Marubani nao walikuwa lockdown. Viwanja vya ndege vya huko zitokako vimefungwa. Funguo wanazo wao wenyewe. Wanajua kilichowafanya wafunge. Hakijaisha. Tulijitangazia kufunga viwanja vyetu kwa kuona hakuna ndege inakuja. Kujibalaguza tu!
 
Watu wenye akili kama za Samaki Mfano wa Titicomb ndio hubebaga kila akisemacho Jiwe
Hiyo Link ya Qatar Airways hakuna available flight to Tanzania tarehe 16 June
Kwa jinsi ulivyo kuja na lugha za kashifa huku kukujibu tu nimekupendelea heshima kubwa mno ambayo hauku stahili.

Wewe mwenye akili nyingi unaelewa nini unaposikia 'kuanzia' au kiingereza 'starting from'?

Mimi nilifikiri wewe ni mtu wa kutumia mantiki (logic), sisi tuliosoma hisabati kuna hesabu za seti (set), hilo neno 'kuanzia' lina maana kubwa sana, limechukua eneo kubwa sana katika universal set. Nenda kajikumbushe hisabati za functions na mambo ya limits.
 
Naona unawashwa washwa tu bila sababu
Umemeliza matusi mkuu?
Kama bado niongezee kunitukana jingine kubwa zaidi ufurahi upone ugonjwa wako kisha uje tujadili kwa hoja.
 
Waliona zeru-zeru wawili wakikatiza airport , mataga wakasherehekea eti watalii wamemiminika tz 🤣🤣🤣
 
Tanzania iliingia mkosi mwaka 2015,huyu mzee hana sifa za kuwa Rais, matokeo yake ndo haya sasa, kichwani ni mweupe anachojua ni kutumia nguvu tu kwa kila jambo
 
Wewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?
Elewa kuwa hakuna watalii kwa sababu serikali inaficha takwimu za Corona, acha ujinga hapa
 
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi? Anza kuwa na Ubongo kwanza ndipo upate akili, kumbuka CCM walisema Ndege zimejaa mpaka October? Walisema Ndege za wapi kama walijua Anga bado zimefungwa? aliyesema watalii watamimika hakujua hilo la chai?
 
Wewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?
Elewa kuwa hakuna watalii kwa sababu serikali inaficha takwimu za Corona, acha ujinga hapa
CCM wanashangaza eti wametangaza corona imekwisha Tanzania wakati Balozi zote wanajua watu wanafia majumbani mwao hawaendi Hosptal, hawajui wafanyakazi wa ubalozi wengi wanaishi mitaani huwapelekea Balozi taarifa zote
 
Wewe ni bwege kweli, Qatar airways ndo itaenda kuwafurumua wazungu majumbani mwao?
Elewa kuwa hakuna watalii kwa sababu serikali inaficha takwimu za Corona, acha ujinga hapa
Ha haaa..!
Watu mnaokuja hapa kwa kazi za kisiasa au kwa chuki mnakuwa na hasira sana!!

Umemaliza matusi? Ongeza kunitukana na tusi jingine kubwa kabisa lile unahisi litanikera ili ufurahi kisha tuendelee na mjadala.
 
Watalii wanakuja kila siku mbona hamna hata aibu mkitaka kuamin angalia chama alivyo kua anashuka juzi airport wale wazungu walio kua na mabegi ni babu zako au albino hahahaha CHADEMA bana
Hapa wanaokataa propaganda zenu siyo chadema pekee bali ni watanzania waliomka tena wengi hawapo chama chochote na wengine ni CCM wanaojitambua , wazungu kuja Nchini siyo lazima wote wawe watalii wengine ni maofisa wa ubalozi
 
Ha haaa..!
Watu mnaokuja hapa kwa kazi za kisiasa au kwa chuki mnakuwa na hasira sana!!

Umemaliza matusi? Ongeza kunitukana na tusi jingine kubwa kabisa lile unahisi litanikera ili ufurahi kisha tuendelee na mjadala.
Mjadala ni huu corona ipo inaua watu majumbani lakini CCM kwa kutaka wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu wameamua kuwazuia kuvaa barakoa kunawa mikono muambukizane kwa wingi ili mwezi wa nane, tisa watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, hilo ndilo lengo la CCM.
 
Ha haaa..!
Watu mnaokuja hapa kwa kazi za kisiasa au kwa chuki mnakuwa na hasira sana!!

Umemaliza matusi? Ongeza kunitukana na tusi jingine kubwa kabisa lile unahisi litanikera ili ufurahi kisha tuendelee na mjadala.
Unastahili kuwa Bwege, na mabwege wapo Kama wewe, yaani mnadanganywa na wapumbavu eti Tanzania kuna wagonjwa wa Corona wanne tu na eti watalii wanafurika kuja Tanzania, pumbavu sana nyie, mnadhani hata wazungu ni mabwege Kama nyie?
Nenda Aga Khan Hospital na Kairuki uone watu wenye pesa wanavyokufa kwa Corona na maskini wanavyofia majumbani.
Mnaleta siasa kwenye maisha ya watu?
Pumbav sana
 
Sawa umesikika mkuu.
Kuna jingine? Au bado unataka kuongeza matusi?

Tukana hadi hasira ziishe hii kisha tutajadili hoja hii mijadala ipo tu, cha muhimu afya yako yako. Usije ukajidhuru kwa msongo wa mawazo tutapoteza mtu muhimu kwa taifa.
 
Uswahilini mitaani masikini wengi wamefia majumbani wengine kwenye zahanati wengine wamefia njiani wakipelekwa Hosptal, ndugu zao wanaogopa kusema ni corona kwa kuogopa kwenda kuwekwa karantini, Ugonjwa upo watu wanakufa na Balozi zote wana taarifa za mitaani kote wanajua kila kitu.
 
Sawa umesikika mkuu.
Kuna jingine? Au bado unataka kuongeza matusi?

Tukana hadi hasira ziishe hii kisha tutajadili hoja hii mijadala ipo tu, cha muhimu afya yako yako. Usije ukajidhuru kwa msongo wa mawazo tutapoteza mtu muhimu kwa taifa.
Hoja hii hapa wauza chipsi wote wauza matunda wote hawana ndoo za kunawa mikono hawavai barakoa wakiugua wanawaambukiza wateja wao ndiyo maana corona haiwezi kuishi Tanzania kwani CCM imeruhusu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…