Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

Point yako ni ya WCB Wala sio wizi.
Na hivyo ndo vigezo vya kushusha hadhi ya jiji?
Au unaleta mihemko mkuu?
 
Point yako ni ya WCB Wala sio wizi.
Na hivyo ndo vigezo vya kushusha hadhi ya jiji?
Au unaleta mihemko mkuu?
Mambo ni mengi sana pamoja na wizi wa solar za barabarani hii ni aibu
 
Acha bangi
 
Tangu nifanyiwe ubaguzi wa kidini huo mkoa sina habari nao , siwezi kuwachukia maana wengine ni marafiki zangu ...Nimeona baadhi ya rafiki zangu wanaunga mkono huo upuuzi.
Pole sana mkuu, ila hukupaswa kukaa kimya...
Hizo tabia za kinyani lazima tushirikiane kuitokomeza...

Ubaguzi wa kidini, ukabila ni unyani na ukifanyiwa na mtu usiwe mnyonge hata kama anafikiri yuko kwao...
 
Umeleta uzi mrefu, lakini kilichofanya ulete huu uzi ni hiyo namba 2. Hiyo Mbeya hata mkiifuta kuwa jiji na kuwa mji mdogo, itakuwa na madhara kwa viongozi ila sio kwa wananchi wa kawaida. Mnaweza kufuta jiji hata leo.
 
Wewe ni mpumbavu huyo Zuchu kuwaonyeshea Dole la kati wanaume naona ni sawa huna akili kabisa
 
Kwani Mbeya kuwa jiji kumeinufaisha nini cha ziada na kabla ya kuwa jiji?

Kuwa jiji ni kuongeza gharama zisizo na ulazima tu kwa mlipa kodi maana siasa ni nyingi kuliko uhalisia wa maendeleo.

Tanga ni jiji lakini kwenye ukusanyaji wa mapato inapitwa hata na Halmashauri za mji tu sasa faida ya jiji ni nini?

Dar hata leo uiondolee hadhi ya jiji hakuna kitachobadilika sana sana itaathiri ulaji na upigaji wa wanasiasa tu.
 


Wewe ndio utalifuta hilo jiji na kuwahamisha wakazi wa Mbeya? Umejipa kazi ngumu sana😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…