ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ThibitishaJiji la Mbeya sidhani Kama watu wake wanajua kuwa wapo jiji wapo very primitive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThibitishaJiji la Mbeya sidhani Kama watu wake wanajua kuwa wapo jiji wapo very primitive
Hako kamwanamke kasenge sanaPole zuchu.....
Hujui ndio maana unaongea huu ujinga.Sasa kwani likifutwa Jiji wao watapata shida Gani na Sasa linasemekana ni jiji kunafaida Gani waipatayo.
Zuchu tulia umeyataka mwenyewe
Una uhakika wasafwa ndo wabaguzi au unaongea tu now days watu wanazidi kuelimika sio kama zamani alafu mbeya hawaishi wasafwa wewe toa maoni kama ni kweli hayo masuala ya kuibwa kwà solar yapo ni kipi kifanyike sasa naona na wewe unaendelea kubaguaItakua ulikutana na wasafwa, wale wana ubaguzi hata kwa mtu asie wa kabila lao.
Sasa kama ni muislam, umetoka mkoa mwingine na ni kabila jingine aloo hamna rangi utaacha kuona.
Una chuki tu na wasafwa weweWanyakyusa na wasangu hawana shida wako safi. Wasafwa wapumbavu sana na ndio kabila kubwa.
Hakuna... Wako sahihi.Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Mbona unataka battle jombaa, hatupo kubattle hapa.Liweke kabila lako hapa nyambaff!! Mbona unawajadili wasafwa kwa dharau sana. Liweke na la kwako tuweke madhaifu yenu.
Nimemquote mtu aliebaguliwa hapo, sijajibu hoja ya kuiba hizo solar zako.Una uhakika wasafwa ndo wabaguzi au unaongea tu now days watu wanazidi kuelimika sio kama zamani alafu mbeya hawaishi wasafwa wewe toa maoni kama ni kweli hayo masuala ya kuibwa kwà solar yapo ni kipi kifanyike sasa naona na wewe unaendelea kubagua
Una chuki tu na wasafwa wewe
Acha uongo solar kuibwa umeona ni mbeya tu?!Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Basi huo unyani umeshamiri sana zanzibar kuliko sehemu yoyote au wao wana haki na huo unyani?Pole sana mkuu, ila hukupaswa kukaa kimya...
Hizo tabia za kinyani lazima tushirikiane kuitokomeza...
Ubaguzi wa kidini, ukabila ni unyani na ukifanyiwa na mtu usiwe mnyonge hata kama anafikiri yuko kwao...
Najua lengo lako kuu lilikuwa ni kulalamikia huyo msanii uchwara na hilo la sola umeliweka tu ili kusindikiza.
Hii ndio huitwa 'mind reading'...?Najua umeguswa sana na hili tukio, hayo ya wizi wa solar umeweka tu kuzugia katika kufikisha ujumbe wako. Maana hayo yanatokea kila mahali na sio kigezo kabisa cha kufuta majiji.
Sasa kabinti kameenda na kubana pua eti mitano Tena ilhali watu wako na hisia zao, Tena ana bahati wangempiga kwa mawe kabisaHusika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Kosa moja haliharalishi lingine...Basi huo unyani umeshamiri sana zanzibar kuliko sehemu yoyote au wao wana haki na huo unyani?
Kumbe nabishana na Mnyakyusa!! Wanyakyusa mumechangamsha kitu gani? Kama ni uchovu tuko sawa tu. Nyie wanyakyusa mnachotuzidi ni maringo na dharau tu. Nimetembea sana Rungwe na Kyela, maskini watupu, mapalachichi na ndizi tu ndiyo mnategemea. Na wanawake zenu kuuza uchi. DaadaadekiMbona unataka battle jombaa, hatupo kubattle hapa.
Kubali au kataa ndo iko hivyo wasafwa ni wabaguzi sana ninyi watu.
Mahukuru sana wanyakyusa wamechangamsha la sivyo mngeishia milimani huko
Acha lifutwe kwani hilo si jina tu mkuu?Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Upo sahihi kabisa, Arusha Sasa limekuwa jiji tulivu SanaMnapochabikiaga Machadema mlidhani Huwa wanapandikiza nini?
Uhuni umehama kutoka Arusha na Sasa ni Mbeya.
Chadema ni watu wa hovyo,unganeni kuwakataa ndio chanzo Cha yote hayo.
Saizi Arusha imetulia Kwa sababu wameyakataa Machadema