Nyuma ya pazia!Bavicha wote waliotokea UDSM na SAUT ni CCM kuliko wewe ๐๐
Ila wewe uliyetokea micheweni ni zaidi ya chademaBavicha wote waliotokea UDSM na SAUT ni CCM kuliko wewe ๐๐
Nakusimulia tu ๐๐๐๐hiyo inanihusu au kunisaidia nini mimi sasa gentleman kwa mfano?๐
Mkuu yawezekana una hoja lkn swali dogo tuu ,kama Polisi ni waungwana kwanini hawakumuita kwa wito ,kwanini wamvamieeeee ,nadhani shida inaanzia hapo ,kuhusu issue ya rumande kwa hichi chama cha CDM wao wanaona kawaida tuu sio issue kwao maana hata mwenyekiti wao asha kaa mdaaa tuuuMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa๐
Mungu Ibariki Tanzania
ni mambo ya uongozi wa juu ndani ya chadema wenyewe tu kwenye uchaguzi wao. huenda watu waliambiwa sumu haionjwi kwa ulimi wakakaidi wakaonja ..Kwani Mzee Ally Kibao hakutii mamlaka hadi yamkute yaliyomkuta?
Hii Nchi tulipofikia, ni Mungu tu ajuaye kesho yetu
Mwenye jukumu la kuhakikisha kwamba hali ya usalama huku nje inakuwa sawa ni naniKwasababu hali ya usalama huku nje siyo nzuri watu wabaya wanaweza kumteka na kumuua ikasingiziwa serekali kwahiyo ni vyema mahakama ikaendelea kumuweka mahabusu chini ya ulinzi wa magereza kwa usalama wake.
Serekali inauwezo wa kumpa ulinzi mzuri ndo maana imeiomba mahakama imrudishe rumande atapewa uangalizi ulio kisheriaMwenye jukumu la kuhakikisha kwamba hali ya usalama huku nje inakuwa sawa ni nani
Kama siyo serikali?
Kama mmeshindwa
je mko tayari kuleta vyombo vya kimataifa kuchunguza na kuwafahamu hao wanaotowesha amani nchini?
ni kweli kabisaa,Nakusimulia tu ๐๐๐๐
Maana kuna mnaoshangilia Mazingaombwe ya Boniyai huku hamumfahamu kabisa ๐๐๐
Kuna waliotii wito bila shuruti mpaka leo hawajalikani walipoMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa๐
Mungu Ibariki Tanzania
yaani kuna mambo yanahitaji ungwana, hekima na busara kidogo mno kufikia muafaka,Alikamatwa na kutupwa kwenye defender mpaka yeye mwenyewe akabakia anashangaa wakati alisemaga kwa kutamba kuwa hawezi kukamatwa na polisi.lakini matokeo yake mashuhuda wa tukio wanasema alikimbilia kujificha uvunguni mwa gari lililokuwa limepaki eneo hilo. Lakini bado akachomolewa kijeshi huku rafiki zake wakijikausha pembeni bila kumsaidia kiti. Yaani CHADEMA midomoni waongeaji kweli Utafikiri makamanda shupavu kwelikweli kumbe waoga tu
Naikumbuka JF miaka ile ya nyuma kabla ya uchawa kuingia....chawa wanaishushia hadhi sana JfMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..