Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Bora watii amri ya mtekwa.Hawezi kutii amri ya watekaji.
Bora watii amri ya mtekwa.Hawezi kutii amri ya watekaji.
Wameshindwa majukumu Yao! Wapishe chama mbadala wawaonyeshe namna ya kuongoza nchiMwenye jukumu la kuhakikisha kwamba hali ya usalama huku nje inakuwa sawa ni nani
Kama siyo serikali?
Kama mmeshindwa
je mko tayari kuleta vyombo vya kimataifa kuchunguza na kuwafahamu hao wanaotowesha amani nchini?
Kwani ndio dalili anawaogopa? Wao wamemkamata wako wengi, ungewaambia wamfuate mmoja mmoja au waende bila silaha ndio wangefurahia show.sasa mbona yupo KOROKORONI na ameshanyolewa na kipara kabisa 🤣
sasa mbona alikua anajilazimisha kuingia chini ya uvungu wa IST na huku akijua kua, ana tumbo kubwa haiwezekani,Kwani ndio dalili anawaogopa? Wao wamemkamata wako wengi, ungewaambia wamfuate mmoja mmoja au waende bila silaha ndio wangefurahia show.
Huo ndio uanaume.sasa mbona alikua anajilazimisha kuingia chini ya uvungu wa IST na huku akijua kua, ana tumbo kubwa haiwezekani,
hali ile ilisababishwa na nini hasa 🤣
uanaume ni kuilazimsaha kuingia uvunguni mwa IST na una tumbo kubwa kweli?🤣Huo ndio uanaume.
Tulia 🌈uanaume ni kuilazimsaha kuingia uvunguni mwa IST na una tumbo kubwa kweli?🤣
halafu rafiki zake wanashangaa tu 🤣
Nyumbu wana tabia mbaya, yaani mwenzao anakamatwa na simba badala wamsaidie wao wanamsogelea na kumshangaa tu, badala ya kumsaidia 🤣