Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

Kwasababu hali ya usalama huku nje siyo nzuri watu wabaya wanaweza kumteka na kumuua ikasingiziwa serekali kwahiyo ni vyema mahakama ikaendelea kumuweka mahabusu chini ya ulinzi wa magereza kwa usalama wake.
watu wabaya na maadui zake ndo hao waliomshika
 
Uko sahihi
 
Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    231.5 KB · Views: 17
1. Ukisema wito halali unamanisha nini?

2. Je, kama ni wito halali kwanini mkuu wa hao wakamataji mwanzo alipoulizwa kuhusu kukamatwa kwa huyo kijana alikanusha kwamba hawajamkamata?

3. Kwa matukio yanayoendelea sasa kuhusu utekaji na upoteaji wa wakosoaji. Je hata kama ni wewe ndugu mleta mada ungeruhusu kuchukuliwa kirahisi rahisi?

Hawa wakosoaji mara kadhaa wamekua wakiitwa/kupewa wito kwenda kituo cha polisi na mara nyingi wamekua wakienda kutoa ushirikiano bila hata kufuatwa na polisi, sasa jiulize kwanini kwa sasa inakua ngumu jibu ni kwamba wenda hata uko polisi sio sehemu salama hasa kipindi kama hiki.
 
Ubaya wa Chadema hawaeleweki ni moto au baridi mle ndani kuna Wana CCM kindaki ndaki kwa hiyo wasiumizwe ni fursa tu
 
Ni aibu Polisi kutokufahamu sheria za ukamataji na ni kwa upumbavu wako kuendelea kushabikia majambazi yaliyovaa magwanda ya polisi!
kwahiyo yule muungwana aliekua anagoma kutoa ushirikiano kwa polisi,
nakujaribu kujificha uvunguni mwa IST na mtumbo wake ulivyokua mkubwa vile, alikua anajua sheria kweli ?

na kwamba alidhani polisi wangeshindwa kumchomoa chini ya uvungu wa IST wakati tumbo lote likiwa nje ya uvungu wa IST 🤣
 
PGO ndiyo mwongozo wa ukamataji na si vinginevyo!
 
kwa ukaidi na kiburi kama cha yule muungwana, ni dhahiri Lazima angethibitiwa na kutiwa korokoroni kwanza atulize mihemko kisha hiyo PGO itajulikana baadae..

polisi sio wahubiri wa dini kwamba wanakuja kukuhubiria hiyo PGO 🐒
 
Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..

Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?

Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..

Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..

hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..

Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tlaatlah. Tupe majibu haya. Tukio hili liliripototiwa mara tu baada ya utekaji kufanyika, tena walioripoti ni ndugu wa marehemu na wamiliki wa basi. Hatua gani zilichukuliwa ? Majibu unayo ? Walio wahi kutajwa kuhusika na utekaji wamewahi kuitwa ama wamewahi kukanusha ? Ndiyo maana siku hizi mtu hata ukiona tukio live unaogopa kutoa maelezo/ ushahidi isije kukugeukia. Ingekuwa muhimu ku deal na waliotajwa au kufanyia kazi taarifa za awali kuliko ku deal na mtoa taarifa. Kumbuka siku Donald Trump anakoswa risasi, askari hawakumbughudhi aliyewatahadharisha kuwa kamwona mtu juu ya paa anatambaa na bunduki. Badala yake wali act immediately na kumuua yule shooter. Hapa kwetu mtoa taarifa angeozeq jela, kwa maswali kama ulijuaje, unahusikaje nk. Tunalipenda sana jeshi letu ila tunaogopa kujiingiza matatizoni.
 
Soka na wenzake walitii wito hadi leo hawajulikani walipo, polisi wameshaondoa imani kwa wananchi.
 
Tlaatlah. Tupe majibu haya. Tukio hili liliripototiwa mara tu baada ya utekaji kufanyika, tena walioripoti ni ndugu wa marehemu na wamiliki wa basi. Hatua gani zilichukuliwa ? Majibu unayo ? Walio wahi kutajwa kuhusika na utekaji wamewahi kuitwa ama wamewahi kukanusha ? Ndiyo maana siku hizi mtu hata ukiona tukio live unaogopa kutoa maelezo/ ushahidi isije kukugeukia. Ingekuwa muhimu ku deal na waliotajwa au kufanyia kazi taarifa za awali kuliko ku deal na mtoa taarifa. Kumbuka siku Donald Trump anakoswa risasi, askari hawakumbughudhi aliyewatahadharisha kuwa kamwona mtu juu ya paa anatambaa na bunduki. Badala yake wali act immediately na kumuua yule shooter. Hapa kwetu mtoa taarifa angeozeq jela, kwa maswali kama ulijuaje, unahusikaje nk. Tunalipenda sana jeshi letu ila tunaogopa kujiingiza matatizoni.
vyombo vya kiuchunguzi nadhani vinaendelea na uchunguzi na bilashaka wana majibu muafaka ya maswali yako,

hata hivyo,
ni katika kuendelea kujiridhisha na ushahidi uliokusanywa mpaka ndipo watu wengine kama huyo muungwana wanahitajika.

haijulikani nia na dhamira yao, kwanini wengine wanadinda kusaidia haki, stahiki na kutoa ukweli wa mambo dhidi ya wanachokijua Juu ya tukio lile baya na la aibu sana humu nchini 🐒

Ni muhimu kua na subra kidogo
 
Alikamatwa na kutupwa kwenye defender mpaka yeye mwenyewe akabakia anashangaa wakati alisemaga kwa kutamba kuwa hawezi kukamatwa na polisi.lakini matokeo yake mashuhuda wa tukio wanasema alikimbilia kujificha uvunguni mwa gari lililokuwa limepaki eneo hilo. Lakini bado akachomolewa kijeshi huku rafiki zake wakijikausha pembeni bila kumsaidia kitu. Yaani CHADEMA midomoni waongeaji kweli Utafikiri makamanda shupavu kwelikweli kumbe waoga tu
Ww hujaona ila umesikiliza stori za alinacha
 
Kwani kulala rumande ni ishu kwa wanaharakati? Wewe ndii unaogopa rumande, Mwanaharakati haogopi kulala sero.
kama sio issue, na haogopi ukaidi na kiburi yanini?🤣

unawadindia polisi wakati huna uwexo wa kuzuia wasikutie nguvuni, hiyo ni useless 🐒
 
Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..

Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?

Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..

Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..

hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..

Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa[emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
We mwanamke unadhani hata wanaume nao wanaufyata kila wanachoelekezwa?
 
Hawezi kutii amri ya watekaji.
 
Back
Top Bottom