iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,418
- 2,758
Huyo bonge yai mwache akae hukohuko kuna nyapara anamsubiri apande lile tako ampasulie yai.

kwani walifanyeje gentleman 🤣
si hivyo ndivyo walivyofanya nae kwa jeuri akakaidi wito huo akaingia hadi uvunguni mwa IST, ebu fikiria na ule mtumbo wake 🤣
akadhani ati watashindwa kumchomoa, na katika hali hiyo hata marafiki zake alikua nao wengine ikabidi waanze kuangua vicheko, kwamba yanini haya yote?🤣
sasa,
polisi kiungwana kabisa with uniform wamekuja wakaeleza kua unahitajika one time kituoni unabisha, real?
Kmmmke, thubutuuHuyo bonge yai mwache akae hukohuko kuna nyapara anamsubiri apande lile tako ampasulie yai.
Ujambazi na CCM havitenganishwi siku hizi hata hapo Kariakoo kuna mtu amekuja anataka kumkamata mfanyabiashara eti anasema yeye ni askari, mbona watu wamekataa na ameshindwa. CCM inafanya kazi na majambazi kutishia wananchi.Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Tusi lipo sehemu gani hapo? hebu litajewatu wa mihemko na waporomosha matusi bila hoja wanapeana moyo 🤣
Kama ni askari kwanini asivae uniform kuna shida gani? hayo ni matapeli ya CCMUjambazi na CCM havitenganishwi siku hizi hata hapo Kariakoo kuna mtu amekuja anataka kumkamata mfanyabiashara eti anasema yeye ni askari, mbona watu wamekataa na ameshindwa. CCM inafanya kazi na majambazi kutishia wananchi.
Korokoroni,jela wamekaa kina Mandela hata wewe pia unawezaMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa🐒
Mungu Ibariki Tanzania
sure,Situation:walishindwa kumuita kwa kupitia mwanasheria wake? Au yeye mwenyewe? Tuseme anawaogopa? Mbona hapo kashaenda sana? Au ww wa juzi? Hivi inakuwaje mnakuwa hivi alafu ww si wamumuda humu? Duh.
aah sasa mrangi hayo mengine sijui ya akina mandele ni viongo vya ubishi tu, na wala havizui mtu asiswekwe korokoroni. Mtuhumiwa atasekwa ndrani bila mbambamba yoyote wakat wowote...Korokoroni,jela wamekaa kina Mandela hata wewe pia unaweza
Kwenda wakati wowote
Ila mnapoenda kuwa kamata watu muwe mnajitambulisha
Ohh uraiani huku hali si shwari
Watu hawana imani na nyie
Ova
Kuna muda ukweli kama huu hatutaki kuusikia et kwa sabab sisi n upinzani🤝turejee CPAsure,
nina mwaka sasa ila bado ndio najifunza kutukana na kua na mihemko. Kwa muda mrefu nimejikita kwenye hoja zaidi, na kukaa kimya pale ambapo sina mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya mada mezani,
hata hivyo,
kulingana na jinsi mtuhumiwa anavyohitajika kwenye vyombo vya kiuchunguzi vya ulinzi na usalama, bila kuathiri ushahidi na uchunguzi...
Polisi wanaweza kukutumia wito kwa maandishi kwamba wanakuhitaji kituoni, lakini pia wanaweza kuja moja kwamoja na karatasi la kuhitajika kwako kituoni na wakaondoka na wewe hadi kituoni...
na hicho ndicho akilichomkuta boniyai. Alihitaji kuambatana na polisi hadi kituoni kiungwana kabisa, lakini boniyai kwa jeuri na kiburi ya kiwango cha juu sana.
Aliwagomea maafisa wa polisi walio katika uniform, tena hadharini kabisa. Na polisi wakalazimika kutumia nguvu kiasi kumdhibiti na kumlazimisha kwenda kituoni, na mpaka sasa nadhani inafahamika bayana nini kinaendelea...
it was just simple like dhati 🐒
wewe una mda gani madam hata umekua ukitumia maneno makali namna ile kwa nyakati tofauti tofauti?
Kubali ya kuwa kuna polisi ambao ni wahalifuuuu naoaah sasa mrangi hayo mengine sijui ya akina mandele ni viongo vya ubishi tu, na wala havizui mtu asiswekwe korokoroni. Mtuhumiwa atasekwa ndrani bila mbambamba yoyote wakat wowote...
hata hivyo,
vyombo vya ulinzi na usalama havimiliki nyumba ya ibada, ati ihubirie watu wawe na Imani...
vyombo vya ulinzi vitafanya kazi zake kwa weledi na bidii zaidi bila kujali nani anakasirika, anapenda ama ama anachukia, anapenda au hapendi, ana imani au hana 🐒
angetii kimya kimya bila watanzania kujua sasaivi angeshakufa kimyakimya.Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa🐒
Mungu Ibariki Tanzania
alikua na wenzake wengi tu alipokua akitiwa nguvuni na polisi...angetii kimya kimya bila watanzania kujua sasaivi angeshakufa kimyakimya.
Mimi sizungumzi cdm cuf actkama ambyavyo hata pale chadema kuna baadhi watu damu za watu zinawalilia, aise 🐒
Timu roho mbaya itakuwa inafahamu.kule ambako chairman siku ile kwenye ile press conference, wakati anawahadaa waliopotelewa na ndrugu zango mbele ya kamera kwamba anafahamu walipo ndrugu zao?
hivi ile Ilikua ni ramli au?🐒
leo kwenye cross-examination huko naambiwa polisi na mawakili wa serekali mavi yanagongana kwenye chupiMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu zango?
Sasa kitendo cha kudindia, kukaidi na kugomea wito halali wa polisi, na kukaidi kutii maelekezo ya vyombo imara sana vya uchunguzi nchini, si ndiko kuliko ibua mashaka zaidi kwamba, huyu muungwana kwanza si mwema ni jeuri, na huenda ana uhalifu na hatari nyingine kubwa zaidi ya tuhuma zilizo kusudiwa dhidi yake mwanzo..
Kama mtaalamu,
Nashauri raia yeyote mwema, anaehisi hana hatia, na mwenye nia njema nchini, kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama, pale ambapo anahitajika kufanya hivyo, bila ujeuri, ukaidi wala kiburi. Ili kuepusha mashaka zaidi dhidi yake, na kuepusha usumbufu usio kua wa Lazima kwa familia, ndugu, chama na marafiki zako. Na pengine kuepusha kuharibu ratiba za majukumu yako ya kazi au biashara za kila siku, kwa manufaa yako binafsi, familia na Taifa kwa ujumla..
hata hivyo,
kwa mfano kwasasa, kwenye hili tukio la mauaji ya kikatili ya kiongozi mwandamizi wa chadema, kamanda Ally Mohamed Kibao. Kiongozi yeyote anaegoma kutoa ushirikiano ili ukweli ujulikane, na haki stahiki za kamanda Ally zipatikane,
ifahamike wazi kwamba, huyo anaegoma kueleza ukweli mpka alazimishwe na polisi, kwanza anaitia shaka jamii, na huenda anasaidia kikamilifu kudhulumu na kukandamiza haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipotee na zisipatikane kabisa..
Mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya mwisho ya hukumu ataulizwa🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nyakati zimebadilika,ukitii kizembe utaokotwa ununioMambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..