Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,675
Na wewe una amini hayo?ni mambo ya uongozi wa juu ndani ya chadema wenyewe tu kwenye uchaguzi wao. huenda watu waliambiwa sumu haionjwi kwa ulimi wakakaidi wakaonja ..
tuwaombee uchaguzi wao wa ndani umalizike salama tu 🐒
Alijuwa wanaogopa Kitambi cha mayai. Halafu marafiki zake inasemekana kwa mujibu wa mashuhuda waliohojiwa na gazeti la Mwananchi wanasema ya kuwa walikaa mbali kabisa na kumuacha apambane na hali yake. Usicheze na vyombo vya Dola.yaani kuna mambo yanahitaji ungwana, hekima na busara kidogo mno kufikia muafaka,
sasa huyo muungwana akadhani polisi wanaogopa midevu yake 🤣
Kwani siyupo kituoni tu,na sihajapelekwa?Nakusimulia tu 😂😂😂😂
Maana kuna mnaoshangilia Mazingaombwe ya Boniyai huku hamumfahamu kabisa 😂😂😂
of course Yes,Naikumbuka JF miaka ile ya nyuma kabla ya uchawa kuingia....chawa wanaishushia hadhi sana Jf
Kwani siku hizi mmekuwa na uthubutu wa kuacha maji mezani?ni mambo ya uongozi wa juu ndani ya chadema wenyewe tu kwenye uchaguzi wao. huenda watu waliambiwa sumu haionjwi kwa ulimi wakakaidi wakaonja ..
tuwaombee uchaguzi wao wa ndani umalizike salama tu 🐒
Kwenye kale kakijijikwani alikua anatakiwa apelekwe wap 🐒
hilo zoezi la kuchangiaji pesa za bima kwa watoto ni lini gentleman ili nione namna 🐒Hakika Mungu aibariki Tanzania, Ewe Mtanzania mzalendo na mpenda nchi yako, Ungana na watanzania wengine wazalendo kuwatetea watoto walionyimwa bima ya afya, Ziara nyingi za nje zisizokuwa na tija kwa nchi, Uongozi mbovu, Katiba mbovu na tume ya uchaguzi isiyokuwa huru,utekaji na mauaji ya raia. Kama wewe ni muungwana na unajali watoto wa Tanzania, Jitokeze hadharani kutumia haki yako kikatiba kwa manufaa ya watanzania.
Kuanzia Mwaka 2000 Makada Wenye Akili Kutoka UDSM na Saut walipelekwa Vyama vya upinzani kimkakati na yale Magarasa yalibaki Chamani yuvisisiemu 😂ni kweli kabisaa,
hatufahamu kuhusu picha kamili ya hapo katikatika, sasa sifahamu ndio mazingaumbwe kama ulivyosema, na kwamba hapo katikatika kilifanyika nini kwa kamanda Ally Mohamed Kibao, kwasababu muungwana alishirikisha mitandao ya kijamii picha ya mwanzo na mwisho tu wa tukio kamili....
ndio maana wengi tunatamani kufahamu zaidi na kujua kiundani hayo mazingaumbwe, kwamba muungwana hana picha kamili ya hapo katikatika kweli?🐒
uvccm mbona tena mnakoroganaNakusimulia tu 😂😂😂😂
Maana kuna mnaoshangilia Mazingaombwe ya Boniyai huku hamumfahamu kabisa 😂😂😂
kwani walifanyeje gentleman 🤣Mkuu yawezekana una hoja lkn swali dogo tuu ,kama Polisi ni waungwana kwanini hawakumuita kwa wito ,kwanini wamvamieeeee ,nadhani shida inaanzia hapo ,kuhusu issue ya rumande kwa hichi chama cha CDM wao wanaona kawaida tuu sio issue kwao maana hata mwenyekiti wao asha kaa mdaaa tuuu