Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

 
Ujambazi na CCM havitenganishwi siku hizi hata hapo Kariakoo kuna mtu amekuja anataka kumkamata mfanyabiashara eti anasema yeye ni askari, mbona watu wamekataa na ameshindwa. CCM inafanya kazi na majambazi kutishia wananchi.
 
Ujambazi na CCM havitenganishwi siku hizi hata hapo Kariakoo kuna mtu amekuja anataka kumkamata mfanyabiashara eti anasema yeye ni askari, mbona watu wamekataa na ameshindwa. CCM inafanya kazi na majambazi kutishia wananchi.
Kama ni askari kwanini asivae uniform kuna shida gani? hayo ni matapeli ya CCM
 
Korokoroni,jela wamekaa kina Mandela hata wewe pia unaweza
Kwenda wakati wowote
Ila mnapoenda kuwa kamata watu muwe mnajitambulisha
Ohh uraiani huku hali si shwari
Watu hawana imani na nyie

Ova
 
Situation:walishindwa kumuita kwa kupitia mwanasheria wake? Au yeye mwenyewe? Tuseme anawaogopa? Mbona hapo kashaenda sana? Au ww wa juzi? Hivi inakuwaje mnakuwa hivi alafu ww si wamumuda humu? Duh.
sure,
nina mwaka sasa ila bado ndio najifunza kutukana na kua na mihemko. Kwa muda mrefu nimejikita kwenye hoja zaidi, na kukaa kimya pale ambapo sina mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya mada mezani,

hata hivyo,
kulingana na jinsi mtuhumiwa anavyohitajika kwenye vyombo vya kiuchunguzi vya ulinzi na usalama, bila kuathiri ushahidi na uchunguzi...

Polisi wanaweza kukutumia wito kwa maandishi kwamba wanakuhitaji kituoni, lakini pia wanaweza kuja moja kwamoja na karatasi la kuhitajika kwako kituoni na wakaondoka na wewe hadi kituoni...

na hicho ndicho akilichomkuta boniyai. Alihitaji kuambatana na polisi hadi kituoni kiungwana kabisa, lakini boniyai kwa jeuri na kiburi ya kiwango cha juu sana.

Aliwagomea maafisa wa polisi walio katika uniform, tena hadharini kabisa. Na polisi wakalazimika kutumia nguvu kiasi kumdhibiti na kumlazimisha kwenda kituoni, na mpaka sasa nadhani inafahamika bayana nini kinaendelea...

it was just simple like dhati 🐒

wewe una mda gani madam hata umekua ukitumia maneno makali namna ile kwa nyakati tofauti tofauti?
 
Kama amefanya jinai acha apambane na jinai yake. kutetea huu upuuzi kunafanya ionekane ametumwa na chama
 
Korokoroni,jela wamekaa kina Mandela hata wewe pia unaweza
Kwenda wakati wowote
Ila mnapoenda kuwa kamata watu muwe mnajitambulisha
Ohh uraiani huku hali si shwari
Watu hawana imani na nyie

Ova
aah sasa mrangi hayo mengine sijui ya akina mandele ni viongo vya ubishi tu, na wala havizui mtu asiswekwe korokoroni. Mtuhumiwa atasekwa ndrani bila mbambamba yoyote wakat wowote...

hata hivyo,
vyombo vya ulinzi na usalama havimiliki nyumba ya ibada, ati ihubirie watu wawe na Imani...

vyombo vya ulinzi vitafanya kazi zake kwa weledi na bidii zaidi bila kujali nani anakasirika, anapenda ama ama anachukia, anapenda au hapendi, ana imani au hana 🐒
 
Kuna muda ukweli kama huu hatutaki kuusikia et kwa sabab sisi n upinzani🤝turejee CPA
 
Kubali ya kuwa kuna polisi ambao ni wahalifuuuu nao

Ova
 
angetii kimya kimya bila watanzania kujua sasaivi angeshakufa kimyakimya.
 
angetii kimya kimya bila watanzania kujua sasaivi angeshakufa kimyakimya.
alikua na wenzake wengi tu alipokua akitiwa nguvuni na polisi...

wakati wa purukushani, huku akiwa anapiga mayowe sana,
alijaribu kujikunja kuingia chini ya uvungu wa IST ili asikamatwe, ila tumbo lake likabaki nje, ndipo wakammkamata kama nyoka 🤣
 
kama ambyavyo hata pale chadema kuna baadhi watu damu za watu zinawalilia, aise 🐒
Mimi sizungumzi cdm cuf act
Nakuambia si kuna polisi ambao
Nao ni wahalifu tu

Ova
 
kule ambako chairman siku ile kwenye ile press conference, wakati anawahadaa waliopotelewa na ndrugu zango mbele ya kamera kwamba anafahamu walipo ndrugu zao?

hivi ile Ilikua ni ramli au?🐒
Timu roho mbaya itakuwa inafahamu.
 
leo kwenye cross-examination huko naambiwa polisi na mawakili wa serekali mavi yanagongana kwenye chupi
 
Nyakati zimebadilika,ukitii kizembe utaokotwa ununio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…