Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

Mwenye jukumu la kuhakikisha kwamba hali ya usalama huku nje inakuwa sawa ni nani
Kama siyo serikali?
Kama mmeshindwa
je mko tayari kuleta vyombo vya kimataifa kuchunguza na kuwafahamu hao wanaotowesha amani nchini?
Wameshindwa majukumu Yao! Wapishe chama mbadala wawaonyeshe namna ya kuongoza nchi
 
sasa mbona yupo KOROKORONI na ameshanyolewa na kipara kabisa 🤣
Kwani ndio dalili anawaogopa? Wao wamemkamata wako wengi, ungewaambia wamfuate mmoja mmoja au waende bila silaha ndio wangefurahia show.
 
Kwani ndio dalili anawaogopa? Wao wamemkamata wako wengi, ungewaambia wamfuate mmoja mmoja au waende bila silaha ndio wangefurahia show.
sasa mbona alikua anajilazimisha kuingia chini ya uvungu wa IST na huku akijua kua, ana tumbo kubwa haiwezekani,

hali ile ilisababishwa na nini hasa 🤣
 
Huo ndio uanaume.
uanaume ni kuilazimsaha kuingia uvunguni mwa IST na una tumbo kubwa kweli?🤣

halafu rafiki zake wanashangaa tu 🤣

Nyumbu wana tabia mbaya, yaani mwenzao anakamatwa na simba badala wamsaidie wao wanamsogelea na kumshangaa tu, badala ya kumsaidia 🤣
 
Tulia 🌈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…