Mkuu mimi sikulaumu, wala sikuhumu......
Ila nachosema, you should have known better ndugu
Erythrocyte, kwa nafasi ya ushawishi uliyonayo mbele ya jamii ya kitanzania tunategemea uwe unafanya tafiti za kutosha kabla ya kuandika kitu ambacho kinaweza taharuki au kuchanganya (Negative Connotation) watanzania wenye uelewa mdogo.
Lakini ukiendelea kukishupalia huku na kule, sisi wengine tunaweza kutafasiri kwamba una ajenda yako binafsi. Nafahamu wewe ni msomi mzuri tu, and I hope hili utalizingatia na kuweka weledi mbele..........
Huu ni ushauri tu.......