Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tuzungumzie ukomo wa huu mkataba,Wengine tatizo mkataba mbovu, wengine transhipment, wengine waarabu, wengine Bandari usalama, sababu kibao halafu zote za upuuzi.
Ni wa miaka mingapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzungumzie ukomo wa huu mkataba,Wengine tatizo mkataba mbovu, wengine transhipment, wengine waarabu, wengine Bandari usalama, sababu kibao halafu zote za upuuzi.
Kwa kweli kwenye hili, nimejitahidi sana,Itabdi uwape somo sana watanzania hawajui chochote kwa kweli.
Ndio maana nimewashauri Watanzania wanahitaji elimu ya mikataba, ile IGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkataba ni HGA, bado!.Nisubiri kitu gani wakati mkataba umeshakuwa unatekelezwa tangu October 2022?
Kuna vitu ukiwa hujui ndio utashangaa miaka 30 na kuiona mingi!. Unaujua mkataba wa bomba la gesi ni wa miaka mingapi? Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".Hiyo miaka yako 30 unaiweka kwa mapenzi yako tu, niambie umeiona wapi kwenye yale makubaliano yaliyowafanya DP World waanze utekelezaji wao tangu mwaka jana?
Duration haiwekwi kwenye IGA, duration inawekwa kwenye HGAKwenye yale makubaliano ya mwaka jana, Article 23 inazungumzia duration and termination, ambapo hapo hawajaweka muda maalum wa kwisha mkataba, kama ni miaka miwili, tatu, tano, kumi au 100..
No sio hivyo, HGA itaweka projects na duration, project zote zikikamilika ndipo mkataba unakwisha.Wao wamezungumzia tu kwamba, mkataba unaweza kwisha pakiwepo na permanent cessation of all project activities, sasa hebu niambie, hizo project activities zinaweza seize vipi? au mpaka pale maji ya bahari na maziwa yatapokauka?!
Yes kwasababu anaweza kutengeneza bahati!, Bandari ya Dubai ni artificial port, imetengenezwa, ndio the biggest artificial port in the world!.Ok, bado kipengele kidogo cha kwanza kwenye hiyo article 23 niliyokupa kinasema, mwarabu anaweza kuamua kuendelea kuwepo akiona bado anacho cha kuvuna, hata kama maji ya bahari na maziwa yatakauka!.
Anna Tibaijuka !! Nakumbuka statement zake mbili tofauti alizozitoa ndani ya masaa yasiyozidi 24 kwenye Radio moja hapa Nchini !Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Japo unajitaidi sana kuielimisha jamii kuhusu mikataba lakini watanzania walio wengi pamoja na wewe unazungumzia tu upande mmoja wa uhalali wa mikataba kutokana na nature ya mikataba ya kibiashara ilivyo kokote duniani hata hapa kwetu kwenye mabank na mikopo ya taasisi ndogondogo.Kwa kweli kwenye hili, nimejitahidi sana,
Karibu sana pande hizi
Kwanza nilianzia hapa, Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
ikaja kuwaomba waheshimiwa wabunge wetu, kwenye kuridhia IGA ya DPW, watangulize mbele maslahi ya taifa Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!.
Na baada ya Bunge letu Tukufu kuridhia mkataba huo bila kufanya due diligence yoyote kumhusu Mwarabu wa Dubai na hadhi ya mkataba wenyewe, kwanza nikasisitiza kuunga mkono hoja, Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?.
Kisha nikahoji uwezo wa Bunge letu na uwezo wa wabunge wetu kujadili jambo kubwa kama hili Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu? .
Pia nikatoa angalizo la maeneo yenye ukakasi ili HGA iwe imenyooka Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na kesho Jumapili, nitaandika makala kwenye gazeti la Nipashe kuhusu huu mkataba
P
Ile ilikuwa zawadi.Wewe ungekataa?Halafu unapewa na rafiki yako,unayejua ni tajiri na ana biashara zake zinajulikana.ndiyo mana alipokea ile hela ya mboga, usmart ulimzidi sana.
Kwa vile IGA sio mkataba ni MoU tuu, mkataba ni HGA!. Nashauri tusubirie mkataba!.Kwenye IGA pameandikwa sea and lake ports,hiyo yako umetoa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Tanzania ni Mshindani wa Bandari ya Dubai basi Yanga na Simba ni Washindani wa Madrid na Barcelona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama Tibaijuka,mwenzako kashauza nchi na amepata pesa nyingi sio za mboga kama ulizopata wewe.
Mkuu denooJ , mjinga ni mtu asiyejua, mtu kuwa mjinga sio kosa!, mjinga akiisha elimishwa, ujinga unamtoka anakuwa mweruvu, mjinga anayeelimishwa ujinga isipomtoka, huyo sasa sio mjinga!. Naomba nikuelimishe kwa mara ya mwisho, IGA sio mkataba ni MoU ya makubaliano ya kuingia mkataba wa HGA, mkataba ndio kila kitu, naomba tusiendelee kuijadili IGA, subirieni HGA!. Naomba niwaibie tuu kuwa HGA, DPW anapewa tuu kitengo cha ma container terminal only!.Unapotosha.
Kwenye ule mkataba,
Lengo la agreement ni kuonyeshea nia lakini HGA ndio itasema anagaiwa nini. Wakati unapanga kuoa pia mnapanga mpate watoto wangapi, sisi tulipanga watoto wawili, tulipopata tuhahamia UK, then US, wakaendelea kuongezeka sasa wako 9!.Part 2 General Obligations, na Article 2 ya ule mkataba, pale kwenye Objectives of the Agreement, panatamka wazi kabisa, Waarabu wamekabidhiwa ports zote za maziwa na bahari waziendeshe Tanzania Bara yote, tangu October 2022.
Hii ni nia tuu, mkataba utaeleza.Wanaziendesha kwenye maeneo yafuatayo kulingana na makubaliano;
Development, improvement, management, and operation of lake ports, special economic zones, logistic parks, trade corridors...
Tuache upotoshaji jameni, Samia hajakabidhi chochote kwa yeyote!.Inshort, Samia msaliti amewakabidhi wajomba zake kila kitu kwenye bandari zetu zote Tanzania bara.
Usitukumbushe machungu kwa nchi inayofuata sheria huyo na chenge walitakiwa kunyongwa kabisa.Anna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
Bora DP World ajitoe tuu manaa Wajamaa wamefura ,tubakie vile vile na kujikongoja .Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Wanasiasa ndio tatizo la Nchi hiiBora DP World ajitoe tuu manaa Wajamaa wamefura ,tubakie vile vile na kujikongoja .
Hamna lolote huyu mamaMoja ya wazee wa "hela za kwenye sandarusi" kaongea...
Anavyoongea utadhani yupo serious vile
Na Ana pesa sanaAnna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
Mzushi sana huyu mamaHuyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.
Prof. Tibaijuka
alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji,kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.
Magufuli aliufuta.Mradi.
Yeyw ashavuna vya kutosha atulie tuDada yake karamagi anaupiga mwingi, ni bora angetumia usmart wake kuwaleta maendeleo wana BK kuliko kuwahadaa