Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Alikuwa MNAFIKI, Uislam unapinga sana Mtu mnafiki kama huyo
 
Halafu inaelekea huyu mama Prof. Tibaijuka alikuwa anampenda Job ndugai sana
Maskini mama sasa utabaki na nani? Halafu hata hujazaa nae🤣🤣🤣🤣
 
Tuache kumpamba sana marehemu mwishowe tutaharibu.

Mtu anayefanya jambo kwa kulazimishwa anaonekana (facial expression/body language) maneno yake huwa na ukomo na haongei sana. Hutoa maelekezo aliyopewa kisha huishia hapo.

Ndugai alikuwa anafurahia na hata akizungumza kuna kebehi alikuwa anazitoa waziwazi, kila mwenye hekima alitambua jamaa amelewa madaraka.
 
Wema unaosemwa baada ya mtu kufa ni UNAFIKI MTUPU.

NDUGAI mwenyewe alisema bila kupepesa akimtaja Mzee MALECELA (aliye hai) kuwa ndiye alimfuata na Kumshauri aachie ngazi hakusubiri Mzee afe ndo aseme!!

Huyo Prof Tiba anatafuta kiki tu,Ndugai hana huo wema anaotuhadithia.
 
Profesa kapasua jipu kwamba hata jili limaloendelea mahakamani ni maelekezo sio. Kaongea kwa code kupitia msiba wa ndugai.

ndugai aweke mahali panapostahili kutokana na matendo yake ya.kuminya upinzani bungeni.
 
Na kama bunge lake lilikuwa linapokea maelekezo kweli toka nje,ALIMUITIA NINI PASCAL MAYALA mbele ya Kamati kwa kusema hiki hiki alichomuambia huyo bibi???
 
Kama akina katuga nao wasome alama za nyakati lisu ana muku, hiyo kitu isikikie usicheze na muku hata huyo mkusanya nauli kwenye daladala muku lazima imfuate asione amesahaulika na kuanza sherehe za kuwa mbunge huko Arusha, muku lazima impate tu sooner or later.
 
Huyo team wahuni, wahuni wamejipanga kuwapiga spanner team sukuma gang hawana lolote.
 
We unalindwa na rais? Acha ujinga basi
 
SHit
Takataka
Take it to the 🗑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…