Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Of course mengine ni kupakazana tuu mshikadau si unajua polojo zetu
 

Hata mimi pia ningekuwa na pa kwenda ningesepa, yani naongozwa na kichaa aka jiwe !!!!!
 
Tena wamkatalie kabisa asiende kutututia aibu na makalio yake kwa wazungu mtu anagawa kama njugu
 
Mtanzania.
Swali halikuwa linakuhusu kamanda. Hakuna Mtanzania mkimbizi. Wanaume aina ya Ngurumo ni hatari sana katika jamii, Maana ndio hao kila kukicha wanakimbia na kutelekeza familia zao zikipata tabu na kwenda kuanza maisha mengine na vichenchede.
 
Uongo eti nchi 5 zimemkataa kwani hizo nchi ndiyo zinamteua mtu au mtu anateuliwa na mamlaka ya uteuzi ya Tanzania?
 
Joke!
 
Hata wakati wa mjadala wa gesi ya Mtwara mlikuwa mnasema hivo kwamba wapinzani siyo wazalendo na wazushi. Leo jiwe analialia tu kwamba gesi imechukuliwa na wakubwa.
HAWA NI UMBWAA,mlichoshindwa ni kutambua iwaje swala la haki la kinchi liamuliwe kijeshi kama la gesi.huu ni umavi hii nchi inanuka sana ooh kkiwete mzuri mzuri,kama mzuri mkamuoe sasa.
 
Acha UONGO Kamanda! Mungu anakuona.

Sawa mkuu. Watu hawaelewi hayo mambo kwa sababu yanatokea hatua za mwanzo kabla ya kutangazwa. Nchi husika ikishakubali ndio inatangazwa ujio wa balozi mpya.

Balozi gay amewahi kukataliwa hapa kwetu. Utaratibu uko hivyo ndio maana ukiwakorofisha wanakutimua masaa 24. Nchi haikubali kumpokea mtu wasiomridhia.
 
Hivi mfano raisi akitemteua balozi,nchi husika inaweza kumkataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…