Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

C ampeleke Iraq, Syria au Afghanistan???.. Akikosa huko ampeleke hapo kwa ndugu zetu Somalia... Very simple
Uvamizi au kwajina ulilopewa muungano uishe , baadaye mnaweza kumweka balozi wa Tanganyika nchini Zanzibar
 
Msituaminishe kwa ma Msituaminishe kwa matango pori
 
Wajanja wa ccm
 
Hivi mfano raisi akitemteua balozi,nchi husika inaweza kumkataa?
Ndio
Nchi husika huwa zinafanya vetting kwa mhusika
Then matokeo ya upekuz huo ndio huamua wamchukue au la..

Ni kitu cha kawaida ktk Diplomasia
 
Ni hivii, kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Ikichangiwa na mahusiano ya Nchi mbili husika.
Anapoteuliwa Balozi kuiwakilisha Tanzania Nchi nyingine, hiyo Nchi haina mamlaka ya kumkataa mpaka atakapokanyaga Nchini humo na kuvunja sheria za Nchi husika. Diplomasia sio masuala ya kisiasa kamanda...unapoizungumzia jaribu kuwa na upeo au uelewa mpana katika suala husika.
Asante.
 
Acha UONGO Kamanda! Mungu anakuona.
Si uongo , ilitokea wakati wa mwinyi, jamaa kachaguliwa kuwa balozi kule Sweden, Alitokea mkimbizi kutoka Zanzibar anaishi Denmark akapinga Kwa sababu huyo jamaa aliteswa kule Dar na huyo aliyechaguliwa Balozi .Aliyeteuliwa Balozi alikuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana.
 
Jamani tufanyie kazi fursa zilizopo Tanzania tupunguze tabia ya kujadili watu. Hivi mabalozi wote waliopo Tanzania wanajua Kiingereza au Kiswahili mpaka lugha iwe ni issue kwenye mtu kuwa balozi nje? Kama mimi sijui Kingereza si nitakuwa na mkalimani na nitakuwa nazungumza tuu Kiswahili kama wafanyavyo mabalozi wa mataifa yasiyozungumza kingereza
 
Huyo jamaa aloueteuliwa ni nani na ilikuwa mwaka gani?
Tuache kuongelea haya mambo kama hatuna uelewa nayo kishabiki mkuu. Hii ni tabia hatari sana katika jamii.
Kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Diplomasia sio Siasa kamanda!
 
Tuachane na walioolewa tujadili ya kwetu wanaume wa kazi. Mwanaume anayekimbilia chumbani kwa mwanaume mwenzake lazima awe shoga. Kwa kweli tuache ushabiki Paul Makonda huwezi kumfananisha na Mtolewa mfano huyo anayeitwa Ngurumo cause ameenda kwa mwanaume kupata huduma ya kutunzwa.
 

Siandiki na wala sina utaratibu wa kuandika kitu nisichokijua. Kwakua hatubishani. Naomba niishie hapo mkuu.
 
===
Mmm! unachosema ni moja ya njia lakini si hiyo pekee.
Wewe ulipoteuliwa, haikutangazwa kwanza. Jina lako likapelekwa katika nchi ulikokuwa unapangwa kupelekwa. Nchi hiyo baada ya kufanya vetting ikatoa green light. Ukatangazwa na kuapishwa. Ukaenda na sasa uko huko.

Kuna wanaotangazwa kuwa wameteuliwa lakini wanakaa muda mrefu mpaka nchi husika ziridhie ndipo mabalozi waende. Hata waambata wanakataliwa kama rekodi zao zina matege.
 
Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Du kama hujui protocal za mabalozi usiongee

Tanzania tulishawi kataa balozi wengi kwa sababu mbali mbali. Mfano tuliwahi kukataa balozi wa Japan sababu jina lake ni tusi kwa jamii ya kiswahili.

Ndio maana hawataji nchi mpaka pale inapppatikana approval. Soma Viena Convention kuhusu masuala ya kibalozi.

Lakini pia haijasemwa anapelekwa kama balozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…