Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Kuna kiumbe anaitwa brazaj sijui Magufuli kamkosea nini yaani anaweza fungua nyuzi tano kwa mkupuo zote kulalamika.
Anyway tuchukue tahadhari na kuwa watulivu
brazaj ni agent wa Billgate Yuko kazini!!
 
Tumia akili zako. Jikinge mwenyewe. Usisubiri uambiwe na Magufuli.
Ua always smart lakini hapa utaletewa ubishi ambao hauna tija yoyote....

In most cases COVID-19 ipo Tanzania na sehemu zingine duniani, its not that much dangerous to all of us except to those with other infections.

Kusema Haipo bila ushahidi na wakati dunia inaprove kuwepo ni ' 'UJINGA''
 
Ni kweli , hii ni baada ya kunusurika kuuawa nchiin Tanzania
Nani amuwe huyo Nyoka wa kibisa,hana madhara yoyote Yale kwa Taifa,sema anajishutikia tu na kutaka attention na huruma kutoka kwa Wafadhili wake!!
 
Ninyi huwa wapumbavu sana,mtu akimlaumu rais tu ndio smart?
 
Mbona Bongo hakuna Vita,Nini kimemkimbiza!? Au ni Mkimbizi wa Kiuuchumi!?
watu "wasiojulikana" wanaojulikana walitaka kumteka, kisa kumkosoa mungu wa chatoo!.
angebaki nchini pia yangeweza kumtokea yale ya Lisu...pu pu puu puuu!!!.
 
Kashapata chanjo huyu mzee
 
Ndg yangu toka Corona imeanza,siku hizi Tanzania ziko mbili! Kuna Tanzania inayosemwa mitandaoni,na kuna ile Tanzania halisi iliyotulia! Tanzania ya mitandaoni inatisha sana,yaani Watu wanakufa kila siku,naona hadi mwezi ujao Tanzania ya mitandaoni watu wote watakua wamesha kufa na Corona! Ila ukija kwenye Tanzania halisi,watu wako busy na Maisha yao Kama kawa! Kwa hiyo kazi kwako unachagua Tanzania gani unayopenda wwe! Tanzania halisi au Tanzania ya mitandaoni!?
 
Ansbert Ngurumo yupo ukimbizini huko Sverige?
Wewe ni BONGOLALA mkubwa,so akiwa mkimbizi anakuwa amepoteza haki ya kuongea?

Kukosoa??

Kujenga hoja???

Na no nani aliyesababisha yeye kukimbia nchi?????🤨🤨🤨

kweli UJINGA NI MZIGO😃😃🤣🤣🤣
 
Wewe ni BONGOLALA mkubwa,so akiwa mkimbizi anakuwa amepoteza haki ya kuongea?

Kukosoa??

Kujenga hoja???

Na no nani aliyesababisha yeye kukimbia nchi?????🤨🤨🤨

kweli UJINGA NI MZIGO😃😃🤣🤣🤣
Anapoteza sifa kwa sababu anaongelea Mambo ambayo hana taarifa nazo ni Kama umemsoma mdau hapo juu kwa sasa tuna Tanzania mbili ya mtandaoni na halisi. Hiyo ya mtandaoni inatisha hata wewe hutatamani kuishi ambayo ndio inahadithiwa na kunadiwa na kina ngurumo .

Sasa kwanini aeneze habari zisizo sahihi eti kisha yeye ni mkimbizi wa nchi yenye amani
 
Kwamba uchaguzi umechangia maambukizi hizi ni sababu za kihayawani, Marekani hawakufanya uchaguzi?

Waseme ukweli walibuni liugonjwa likawafyeka wenyewe wakagundua halitudhuru wakarudi maabara, wakatangaza tujiandae na Covid Part II, Kama uchaguzi ndio ulituahidi tujiandae sawa

Mnasema Magufuli anakataza tusivae barakoa, alikataza lini? Yeye anasema tuvae za kwetu

Hapo napo mtalalama mkitaka tuachane na zetu tuvae za mabwana zenu

Poleni na kazi
 
Waendelee tu kutufuatilia, tulikuwepo tutaendelea kuwepo
 
Statement ya JPM kuhusu namna anavyo shughulikia Covid-19 imemchafulia sana Image yake Nje.

Mungu asaidie, but otherwise watakaobaki hai baada ya janga hili watamwandikia kitabu kumsimulia(Bad side of him)
Usiogope.!! Corona phase 1 ilikuwa zaidi ya haya wanayoongea sasa ila kwa imani alishinda na sasa ni hivohivo na tayari tunaenda kuishinda
 
Usiogope.!! Corona phase 1 ilikuwa zaidi ya haya wanayoongea sasa ila kwa imani alishinda na sasa ni hivohivo na tayari tunaenda kuishinda
Huu usanii wa maombi uliofanyika sasa una lengo moja tu, muda wowote kuanzia sasa itakuwa ni marufuku kutangaza habari za misiba, na hata ikitangazwa itapotoshwa kuwa ni magonjwa mengine, itafuatiwa na taarifa za mara kwa mara za kipropaganda kuwa kuwa corona imeondoka baada ya maombi, kama hapo awali. Lengo hasa la upotoshaji huo wa propaganda za kimfumo, ni kuifanya serikali isiwajibike kwa utoaji wa fedha kununulia vifaa tiba, na mahitaji mengine ya muhimu katika kupambana na ugonjwa huu, kwani kimsingi serikali hii inajali vitu kuliko watu.
 
Na mtegemea MUNGU uwa hashindwi
 
Tanzania Corona haipo! Kuvaa barakoa na kutumia njia nyingine za kujikinga ni alama ya kutokuwa na IMANI kwa 'mungu'.
Naomba ufafanuzi wa kuandika Mungu kwa kutanguliza herufi ndogo na kuliweka kwenye single quote (' ')
 
UMEANDIKA "UJINGA " na umeshindwa kujibu swali la msingi.

Nini cha uongo kati ya vitu alivyoongea hapo???

Nyie ndo watu. Mliotia "AKILI " mfukoni....
NIKUPONGEZE KWA KUCHAGUA "ujinga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…