Akileta Musiba ndo unakuwa siyo upuuzi? Comredi hujui pa kushika kwa sasamodeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Vielelezo vipi zaidi ya maneno tu?Musiba anatuletea habari na vielelezo (evidence) Sasa hii ya kwako ni kama katiba kwamba tuikubali duuuu
Ebu kemea upuuzi wa musiba kwanza ndio uwe na uhalali wa kusema uliyoyasemamodeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Hajaishiwa ila kafikisha ujumbe kama wewe ufanyavyoJamaa kaishiwa. Jana kauleta huu udaku, leo tena vile vile. Si ajabu akaurudia tena kesho na kesho kutwa.
Ngurumo hawajui wazungu siku wakihakiki na kuona vitu anavyosema uongo watamrudisha Tanzania hata na drip kama kalazwa hospitalini yeye aendelee tu kutunga vituHuyo Ngurumo ameandika "Makonda aongoza kikao hatari cha maangamizi". Lakini kikao chenyewe eti ni cha ulinzi na usalama wa raia na mali zao, hatari na uangamizi wake ni nini?.
Kikao cha ulinzi na usalama kina wajumbe wengi na waalikwa wengi tu wakiwemo viongozi wa dini na wengineo.
Suala la kwamba Musiba alialikwa kwenye kikao hicho hilo ni la Ngurumo ktk kuongeza chumvi.
Acheni kupotosha wananchi jamani ni dhambi kufanya hivyo.
AnavujaMtulia anaumwa nini?
Naona umeogopa Nissan nyeupe ya Heri Kisanduku makapero na Jerry muro unamtetea Maliyamungu idd Amin Bashite kimtindoDuh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Yaani anavuja balaaaaaTuliambiwa jamani Mtulia anavaa always kama sisi dada zake, HAYA sasa mambo hadharani.
Msiba akitunga Uongo dhidi ya chadema yy hasitahili drip? au mnataka Msiba, Jerry muro na Le mutuz wapewe mimba na chadema?Ngurumo hawajui wazungu siku wakihakiki na kuona vitu anavyosema uongo watamrudisha Tanzania hata na drip kama kalazwa hospitalini yeye aendelee tu kutunga vitu
Na kwenye urais je, kuna bulldozer? Umekosa hoja, a.ka. au nickname ni haki ya mtu binafsi haihojiwi, huyu si mwajiriwa ni sawa na rais wa Manzese.Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Wapiga kura wa Kinondon walioibiwa kura zao walipiga magoti na kumlilia MunguHivi kuhusu MTULIA vipi kalazwa kweli! nini kimemsibu!!!
Pia usipuuze shutuma za Musiba na uzito wa maneno ya viongozi, maana kuna mambo mengi yenye harufu kali ya uhaini na uasi,Siwezi kupuuza taarifa hii maana awamu hii kuna mambo mengi sana ya kushangaza yanaendelea.
Paskal ,Wachache sana wanaweza elewa umekusudia nini kwenye reply yako,ila nimekuelewa mkuu,wajinga ndo waliwao
Hats Mimi nashangaa! Kama kuna mtu anastahili pyu pyu ili nchi ikae kwa amani na demokrasia sahihi basi in huyuHaki ya Mungu walahi
Hivi hatuna maafisa usalama wazalendo tena nchi hii ? Mbona huyu Bashite ni rogue element tu mnashindwa nini kumpa thawabu yake ?
Tuendako ni pagumu sana
Mbona za Musiba zikiletwa husemi moderators wathibitishe..Ni kweli, hivi moderstors wakiombwa kuthibitidha habari hiyo nao watadai uhuru wao wa kutoa taarifa umeingiliwa?
Ebu kemea uasi wa viongozi waCHADEMA kwanza ndio hilo lako liwe na uhalali.Ebu kemea upuuzi wa musiba kwanza ndio uwe na uhalali wa kusema uliyoyasema
Serikali ndio ilitakiwa kuchukua hatua ila iko kimya sasa kwanini na sisi tusimpuuze?Pia usipuuze shutuma za Musiba na uzito wa maneno ya viongozi, maana kuna mambo mengi yenye harufu kali ya uhaini na uasi,