Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimefurahi kuona umemtaja Chizi Maarifa, that means unampenda pia. I wish mfunge ndoa, in case wote mpo single ππ.
π Afu trudie napenda kulala, ila sijawai pata hio nafasiii coz mambo ni mengiii, muda ni mchache.
Hahahah nn tena jamaniπHahaa puppy loveπ thank you mkuu, uishi sana pia huna baya damu yangu, na ukifa hautaoza damu yanguπ€£π€£ ila ulichonifanyia sawa tuuπ
Asante muishi sana watu ya marchHappy belated birthday to Mshua...
Najaku ππNjoo na wajomba zako basi
Kesho damkia hapa Kijenge ya chini ππββοΈ
AiseeKura yangu inaenda kwa yule memba mnaa JF nzima hakuna⦠if u know u know
Aiii yule mtu ni next level sijaona wala kusikia memba anayemfikia kwenye suala la uongo, unafki, uzandiki umbea na kufosi mambo.
Kiumbe nakupa heko
Unaupiga mwingi mno kudadeki
πππkiumbe ni Fav kwenye suala la kupanga matukio ya unaa
Itakuwa sio haki kama sitawapa maua hawa jamaa zangu
National Anthem huyu mdau wa mambo ya imani, magari RRONDO huyu ni mjerumani mweusi huwa tunapeana sana challenge kwenye uwanja wa magari kelphin huyu mdau wangu wa electronics hasa mambo ya sound engineering ni mkali JITU LA MIRABA MINNE huyu mdau ni mzuri kwenye umeme wa magari nafurahia sana mada zake kwenye jukwaa letu pendwa la jf auto dronedrake huyu kijana ni jasusi wa mambo ya mahusiano anaewapoteza maboya kwa kampeni ya kataa ndoa huku yeye anaishi na kipoozeo chake FATIMATI mamujee products [emoji3] ishi sana
@Chaliifransisco huyu chalii ya chuga hanaga kwere anatambua flagi ya mjuba popote ikipepea Saint Ivuga huyu mwamba hana baya always yuko positive GENTAMYCINE huyu jamaa ni mtata sana anajikubali na hapendagi kabisa ujinga wa kumshushia hadhi Robert Heriel huyu jamaa anajiita taikun wa fasihi ni almaarufu kwa magazeti marefu ya nyuzi za kusisimua Deep Pond huyu mwamba ni starring wa game ya michepuko akiwa na main Cast mama j kama mchepuko msumbufu ila wenye burudani. Huwa vimbwanga vyake na mchepuko wake huniburudisha sana. Mimi kama binadamu huwa na nyongo ila niwe wazi kuna member ambao wananikera sana na miongoni mwao ni huyu chawa mwandamizi wa bi tozo @CM736738 huyo fala mwenye ID hio ameongoza kunipeleka selo mara kadhaa baada ya kumwagia acid kali sana za kisiasa.
Nimeimprove SasahiviNamkubali sana baba J DeepPond nikiingia humu lazima nikaangalie telemundo mpya aliyoweka.
Kuna bibie cocastic yeye kila coment ni anacheka mpaka anatoka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Saint Anne zile keki zinaniinspire
Bro Intelligent businessman kuna siku nitakuuliza huwa unalala saa ngapi maana mkesha upo 24/7[emoji16][emoji16]
Kuna baba mtoto wangu wa HIARI Chizi Maarifa sema upunguze kunipondea kwenye nyuzi humo
Pamoja sana boss[mention]Extrovert [/mention]
Ahsante sana sana sana mkuu
Hopefully siku moja tutaonana mkuu
,Sema ngoja nizitafute then nkitaka kudaka chuma najua wapi naanzia[emoji16]
Kinachokutesa ni kipi?Magwiji wa tunda la kimaskhara
Team mma forevaπ¦π¦π¦π¦Much Love mama miworaaaaa π€£π€£π¦π¦
Tuendelee kuchangamsha majukwaa tunayopita ππ₯
Hannah huyu mtoto anakata mapindi ila mjanja mjanja sana sema siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kwa haraka haraka mi humuonaga sniper sema plans za ku intercept kifaa chake zipo [emoji3][emoji3][emoji3],,, you on my menu list ishi sana usife hadi special [emoji192] hacking operation itimie!
Happy birthday mwenza mbona kimyakimya hivi au kule nimekula bulockNafurahi kufahamu kwamba kuna mtu ananikubali, inaleta raha flani hivi moyoni.
Leo ni birthday yangu na wewe ni wa kwanza kunipa tabsamu leo.
Happy birthday to you dearSiamini kama tuna share birthday [emoji2956][emoji2956] happy birthday to you mamiloo
Thanks mke mwee nakupenda sanaaaEvelyn Salt pacha wangu unajua vile nakupenda.
Nobunaga unajua vile nakukubali, you are special.
To yeye
Mshana Jr
makaveli10
mzabzab unanipaga raha na uchizi wako
Mzee wa kupambania Mzee wa mizagamuano, noma sana.
The Monk Rafiki wa ulweli.
Asprin Babu darling.
mbalizi1 Fundi wangu mkuu kabisa.
Msanii
Extrovert
The Icebreaker
Kiranga
ETUGRUL BEY
Kapeace
Lee
Shunie Mke mwenza nakupenda..
GENTAMYCIME
Heaven Sent una busara sana mdogo wangu.
xtaper
Glenn ulinikataa mchana kweupeeee, salute kwako mtumishi wa Mungu.
Amani iwe kwenu ndugu zangu.
Lots of love and respect budyπͺπAhsante sana, kaka Intelligent businessman
Mkuu SI uwa tag, ili wajueedronedrake, kingkong, to yeye,