Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Itakuwa sio haki kama sitawapa maua hawa jamaa zangu
National Anthem huyu mdau wa mambo ya imani, magari RRONDO huyu ni mjerumani mweusi huwa tunapeana sana challenge kwenye uwanja wa magari kelphin huyu mdau wangu wa electronics hasa mambo ya sound engineering ni mkali JITU LA MIRABA MINNE huyu mdau ni mzuri kwenye umeme wa magari nafurahia sana mada zake kwenye jukwaa letu pendwa la jf auto dronedrake huyu kijana ni jasusi wa mambo ya mahusiano anaewapoteza maboya kwa kampeni ya kataa ndoa huku yeye anaishi na kipoozeo chake FATIMATI mamujee products πŸ˜€ ishi sana
@Chaliifransisco huyu chalii ya chuga hanaga kwere anatambua flagi ya mjuba popote ikipepea Saint Ivuga huyu mwamba hana baya always yuko positive GENTAMYCINE huyu jamaa ni mtata sana anajikubali na hapendagi kabisa ujinga wa kumshushia hadhi Robert Heriel huyu jamaa anajiita taikun wa fasihi ni almaarufu kwa magazeti marefu ya nyuzi za kusisimua Deep Pond huyu mwamba ni starring wa game ya michepuko akiwa na main Cast mama j kama mchepuko msumbufu ila wenye burudani. Huwa vimbwanga vyake na mchepuko wake huniburudisha sana. Mimi kama binadamu huwa na nyongo ila niwe wazi kuna member ambao wananikera sana na miongoni mwao ni huyu chawa mwandamizi wa bi tozo @CM736738 huyo fala mwenye ID hio ameongoza kunipeleka selo mara kadhaa baada ya kumwagia acid kali sana za kisiasa.
 

Mleta Uzi, utalamba tuzo Sooon, ngoja nitete na Mods[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna pipo zikikaa kwenye uzi utaenda tu hata km uzi hauna madini, wengine wanatuchukulia poa lakini nakuhakikishia bila wachangamshaji huu mtandao ungekuwa umepwaya
Umeona eeehhh!! Ndio ivoo kuna watu uwepo wenu ni muhimu sana humu yani unaona kabisaa huu uzi akiwepo fulani utanoga sana!!
Muishi miaka mingi sana wapendwa!!
 
My all time favourite JF Characters ni hawa wafuatao.
Kwanza kabisa ni CEO na Founder wa JamiiForums Maxence Melo wewe ndio mtu muhimu sana humu kwa kutuleta pamoja, huna baya Kaka iwe Uraiani au humuhumu JF
Nakadori kwenye jukwaa la MMU
Elton Tonny kwenye jukwaa la Entertainment huwa ananivutia sana na simulizi zake maisha, Usaliti, Familia na mambo yasiyotarajiwa
singanojr much respect Bro siwezi kuelezea uwezo wako katika uandishi wako wa Simulizi nadhani hata James Cameron hakufikii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Captain Marvelous na MosDef hawa jamaa habari zao kuhusu timu yangu pendwa LIVERPOOL FC huwa nikizisoma huwa najihisi kama nipo Anfield pembeni ya Jurgen Klopp na FSG. Shout out my Brothers
Jack Daniel Brother sina la kukuelezea lakini simulizi zako nazo huwa zinanijenga sana na kunifanya niendelee kuwa raia mwema hapa Tanzania
Unique Flower na cocastic huwa napenda sana kile mnachopost hata kama nimeshuka moyo lakini nikiona thread au post zenu ni lazima nitacheka na kufurahi.
raraa reree , Ambiele Kiviele wakuu mpo kwenye orodha ya watu wangu wa nguvu humu JF
Carlos The Jackal hahahhaa tuko pamoja sana Mkuu.
Greatest Of All Time , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana na Scars ni Watu wangu wa nguvu hasa wale Vyura wanaoishi pale Bondeni Jangwani mnavyopambana nao huwa sina haja ya kuongeza maneno. #NguvuMoja
Wapo wengi sana na muda ni mchache na mambo ni mengi.
 
Atleast wewe umetaja watu tofauti na wanaotajwa kila siku, big up bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…