Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kama hamjamtaja Nyani Ngabu na Kiranga, huu uzi wote ni batili AB INITIO.

Naona manyumbu mmekusanyana na kupeana kongole licha ya kuwa wote hamna mchango wowote wenye tija ndani ya jukwaa.

Zaidi sana huwa nawaona kwenye upuuzi wa tunda la kimaskhara na mengineyo yenye hadhi duni.

Tajeni watu wenye tija kama Nyani Ngabu na Kiranga Alaah!
 
EMT na Kiranga hawa ni watu wakiandika mchango kwenye mada yoyote ni lazima utulie na kusoma na hakika utapata kitu kikubwa sana. My all time favourites humu ndani.
Boraa hata hawa.

Naona manyumbu ya kimashkara yanatajana tu na kupeana kongole.

Kundi la wajinga lina nguvu nyieee!!!!!

Unamuacha SUPER KIPANGA Kiranga unawataja watu hohehahe duniii ati magwiji wa tunda la kimaskhara.
 
Taja KIRANGA wewe wacha maneno mingiiii....

MBAMBAMBAAA... Manyumbu ya kimaskhara.
 
Senkyu kwa appreciation my dia bro. Bless u
 
Much Love mama miworaaaaa πŸ€£πŸ€£πŸ’¦πŸ’¦
Tuendelee kuchangamsha majukwaa tunayopita πŸ‘ŒπŸ”₯
 
Nimefurahi kuona umemtaja Chizi Maarifa, that means unampenda pia. I wish mfunge ndoa, in case wote mpo single 😎😎.
πŸ‘‰ Afu trudie napenda kulala, ila sijawai pata hio nafasiii coz mambo ni mengiii, muda ni mchache.
 
Ni sawa Kama inakupa nafuu
Kila member ana umuhimu wake humu,ndio maana ukapata hao member ambao ni favorite kwako,

Wangekua wapo peke yao tu humu hao uliowachagua wala wasingekua favorite kwako bila uwepo wa member wengine ambao wana utofauti na hao, uliowachagua,

Utofauti wetu ndio ulioifikisha Dunia hapa tulipo leo.
 
I mean no malice to nobody The Icebreaker, but this is the result when you swallow the pill first. Again iam sorry in case you are still hurt
 
I mean no malice to nobody The Icebreaker, but this is the result when you swallow the pill first. Again iam sorry in case you are still hurt
Kwahiyo umeona ukiandika kwa lugha ya mkoloni ndio utaeleweka zaidi? Au ndio nyie ambao hua mnaamini kuongea Kiingereza ndio maendeleo? Fikra za kitumwa hizo,ndio maana mwanzo kabisa nikakwambia ulichokiandika ni Rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…