Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kama hamjamtaja Nyani Ngabu na Kiranga, huu uzi wote ni batili AB INITIO.

Naona manyumbu mmekusanyana na kupeana kongole licha ya kuwa wote hamna mchango wowote wenye tija ndani ya jukwaa.

Zaidi sana huwa nawaona kwenye upuuzi wa tunda la kimaskhara na mengineyo yenye hadhi duni.

Tajeni watu wenye tija kama Nyani Ngabu na Kiranga Alaah!
 
EMT na Kiranga hawa ni watu wakiandika mchango kwenye mada yoyote ni lazima utulie na kusoma na hakika utapata kitu kikubwa sana. My all time favourites humu ndani.
Boraa hata hawa.

Naona manyumbu ya kimashkara yanatajana tu na kupeana kongole.

Kundi la wajinga lina nguvu nyieee!!!!!

Unamuacha SUPER KIPANGA Kiranga unawataja watu hohehahe duniii ati magwiji wa tunda la kimaskhara.
 
First I mean no malice to nobody, halafu mbona wametajwa.
[emoji117]Usitutukane, Kama ni wanna mchango ni kwako. Tuache na unyumbu wetu.
[emoji117]Usi force watu wapende vitu, unavyo viona wewe vina faa.
[emoji117]Kila mmoja ana haki ya kufanya kile anacho ona kinafaa, ukamilifu wako peleka kuleee
[emoji117] You are just a disappointed fan kwa kutokutajwa, so this is the result for swallowing the pill first.
Taja KIRANGA wewe wacha maneno mingiiii....

MBAMBAMBAAA... Manyumbu ya kimaskhara.
 
My all time favourite JF Characters ni hawa wafuatao.
Kwanza kabisa ni CEO na Founder wa JamiiForums Maxence Melo wewe ndio mtu muhimu sana humu kwa kutuleta pamoja, huna baya Kaka iwe Uraiani au humuhumu JF
Nakadori kwenye jukwaa la MMU
Elton Tonny kwenye jukwaa la Entertainment huwa ananivutia sana na simulizi zake maisha, Usaliti, Familia na mambo yasiyotarajiwa
singanojr much respect Bro siwezi kuelezea uwezo wako katika uandishi wako wa Simulizi nadhani hata James Cameron hakufikii 😂😂😂😂
Captain Marvelous na MosDef hawa jamaa habari zao kuhusu timu yangu pendwa LIVERPOOL FC huwa nikizisoma huwa najihisi kama nipo Anfield pembeni ya Jurgen Klopp na FSG. Shout out my Brothers
Jack Daniel Brother sina la kukuelezea lakini simulizi zako nazo huwa zinanijenga sana na kunifanya niendelee kuwa raia mwema hapa Tanzania
Unique Flower na cocastic huwa napenda sana kile mnachopost hata kama nimeshuka moyo lakini nikiona thread au post zenu ni lazima nitacheka na kufurahi.
raraa reree , Ambiele Kiviele wakuu mpo kwenye orodha ya watu wangu wa nguvu humu JF
Carlos The Jackal hahahhaa tuko pamoja sana Mkuu.
Greatest Of All Time , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana na Scars ni Watu wangu wa nguvu hasa wale Vyura wanaoishi pale Bondeni Jangwani mnavyopambana nao huwa sina haja ya kuongeza maneno. #NguvuMoja
Wapo wengi sana na muda ni mchache na mambo ni mengi.
Senkyu kwa appreciation my dia bro. Bless u
 
Wachangamsha jukwaa wote nawakubali, sana, asanteni kwa muda wenu kwenye mada nisipoona comment ya mmojawenu najua hiyo mada haina jipya, hizi njemba zikitia mguu kwenye mjadala utaenda na unaweza kutembea hadi page 100 kwa siku moja Depal , To yeye , Dejane Evelyn Salt Demi Antonnia Ms cee Nakadori mzabzab Mzee wa kupambania DeepPond Amehlo Bantu Lady Kalpana National Anthem Glenn ERoni wachache sana niliowasahau,
Much Love mama miworaaaaa 🤣🤣💦💦
Tuendelee kuchangamsha majukwaa tunayopita 👌🔥
 
Namkubali sana baba J DeepPond nikiingia humu lazima nikaangalie telemundo mpya aliyoweka.
Kuna bibie cocastic yeye kila coment ni anacheka mpaka anatoka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Saint Anne zile keki zinaniinspire
Bro Intelligent businessman kuna siku nitakuuliza huwa unalala saa ngapi maana mkesha upo 24/7[emoji16][emoji16]
Kuna baba mtoto wangu wa HIARI Chizi Maarifa sema upunguze kunipondea kwenye nyuzi humo
Nimefurahi kuona umemtaja Chizi Maarifa, that means unampenda pia. I wish mfunge ndoa, in case wote mpo single 😎😎.
👉 Afu trudie napenda kulala, ila sijawai pata hio nafasiii coz mambo ni mengiii, muda ni mchache.
 
Ni sawa Kama inakupa nafuu
Kila member ana umuhimu wake humu,ndio maana ukapata hao member ambao ni favorite kwako,

Wangekua wapo peke yao tu humu hao uliowachagua wala wasingekua favorite kwako bila uwepo wa member wengine ambao wana utofauti na hao, uliowachagua,

Utofauti wetu ndio ulioifikisha Dunia hapa tulipo leo.
 
Kila member ana umuhimu wake humu,ndio maana ukapata hao member ambao ni favorite kwako,

Wangekua wapo hao peke yao uliowachagua wala wasingekua favorite kwako bila uwepo wa member wengine ambao wana utofauti na hao, uliowachagua,

Utofauti wetu ndio ulioifikisha Dunia hapa tulipo leo.
I mean no malice to nobody The Icebreaker, but this is the result when you swallow the pill first. Again iam sorry in case you are still hurt
 
I mean no malice to nobody The Icebreaker, but this is the result when you swallow the pill first. Again iam sorry in case you are still hurt
Kwahiyo umeona ukiandika kwa lugha ya mkoloni ndio utaeleweka zaidi? Au ndio nyie ambao hua mnaamini kuongea Kiingereza ndio maendeleo? Fikra za kitumwa hizo,ndio maana mwanzo kabisa nikakwambia ulichokiandika ni Rubbish.
 
Back
Top Bottom