Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

Tayri mkopo uliokua nao unakupeleka msegemnege halafu uongezee juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

TRA wanaelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ukatae billion ndio usamehewe trillion[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ah weh,segemnege mnaenda nyinyi na 60%ya pato la taifa.

au hujui hata deni inakaribia kuuza nchi[emoji23][emoji23][emoji23],bandari iko mezani watu wanaikula ile ku save sgr.
 
Mawazo mengi ya magu yanafuatwa na WHO, it is a good step, unapaswa kupongeza na kuunga nguvu.
 
Sio inaweza kuwa, ni dharau. Two times, has crossed your border how many times now.
Ni kwanini wanawafanya ivyo, ni hiyo jubaland?
 

Vifaa gani..be specific ,...
 
Unataka awaze mikopo[emoji4]
Kuwalipa wakulima was Koroshow 😉
Its time now Kenyan waje and ask Magufuli for a help. He is well equipped, he beaten corona and he can assist you with prayers. LA sivyo ha wahabeshi watawatia madole machoni.
Atusaidie kuondoa Hawa omba omba watanzania wamejaa kila Kona ya Nchi his yetu ya asali na maziwa... Kenya.
 
Kwa hio ni kweli Kenya ipo juu ya Tanzania according to hizo rankings 😉 na pia Botswana Nchi ya watu millioni 2 iko juu ya Tz bado pande ya SADC 😂
Yani si EAC na si SADC kote mpo tu hamna mahali mnashikilia nambari moja...mkiingia EAC mnapata nafasi ya Kwanza ni Kenya na Ethiopia, mkiingia SADC South Africa, Namibia, Angola na Botswana zimeshikilia labda mchukue nafasi ya 5 😉
 
Ah weh,segemnege mnaenda nyinyi na 60%ya pato la taifa.

au hujui hata deni inakaribia kuuza nchi[emoji23][emoji23][emoji23],bandari iko mezani watu wanaikula ile ku save sgr.
60%ya gdp ya kenya ni sawa na uchumi wote wa tanzania..
Yani ukishindana na kenya EA nchi itaporomoka na iuzwe kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Madeni sawia na uchumi wa tanzania lkn bado uchumi wetu hauyumbi..
Tani ukataei bilioni ilu usamehewe trilioni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kituko cha mwaka[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hapo atarudi na zilee taarab na mapambio
 
Mawazo mengi ya magu yanafuatwa na WHO, it is a good step, unapaswa kupongeza na kuunga nguvu.
Hayo ya kukataa bilioni ili usamehewe trilioni[emoji1787][emoji1787]
 
Hizo F5 ndo unazoziongelea hapa?
Unaweza kuwa na f16 na ukadunguliwa na f5e kirahisi..

Uwezo wa hvyo vyuma viwili kudunguana haupimwi mezani..
La!!inategemea na yule anayekiendesha hicho chuma
 
200km $1.2bn ukiondoa vichwa na mabehewa na kutofika bandarini halafu 500km $3.6bn plus vichwa na mabehewa, chuo cha ufundi, reli kuingia bandarini etc..

Kweli mturuki kiboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kwa wale anaowadai husema dawa ya deni ni kulipa.
 
Kuna mkataba wa kikoloni , wakati wa Mwingereza unaobana matumizi ya mto Nile. Sioni sababu ya kuendelea kuheshimu huu mkataba, Egypt hawezi kudai riparian rights kwa sasa. Nile ni uhai kwa Egypt hivyo hatakubali kirahisi, ila ni Muda wa Afrika kusimama na Ethiopia.
 
Vifaa gani..be specific ,...
Ukiachana "Armoured vehicles" Kenya imeizidi Ethiopia, sehemu zingine zote Ethiopia imeizidi Kenya kwa mbali sanaa, Kenya ina wanajeshi wasiozidi 30,000, Ethiopia 165,000.

Kenya tanks 76, Ethiopia tanks 400
Kenya Artillery 20, Ethiopia Artillery 650
Kenya SPA 30, Ethiopia SPA 67.

These countries are not at the same level.
 
[emoji16][emoji16][emoji38]uchumi hauyumbi!!!,unajua maana ya uchumi kuyumba.mnakopa ili umlipe mishahara uanasema uchumi haujayumba!!!
 
Uelewa wako mdogo Sana kwenye Mambo ya technologia. Unajua maana ya upgrades wewe..
For your information Pakistan mig 21 ilipiga F16 ya India many factors come into play not just the type of jet .
 
Most of the weapons in Ethiopian inventory are unserviceable or were destroyed during Ethiopian Eritrian war.
 
Helicopter za kijeshi Kenya imeishinda Ethiopia kwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…