Mama wa, kizimkazi yupo bize kuteua na kutengua, upande mmoja anaongea kuhusu Malidhiano ya kisiasa, upande wa, pili, wale majambazi walioumiza wapinzani, wanapewa, nyadhifa seeikalini! Crazy!!!!
Wanasiasa, huwa, na, agenda ya, Siri, their political agenda, precede public opinions,
Kule kwa, Biden, serikali inasema Israel imeua watu wengi, Sana na sasa, ni wokati wa, kusitisha Vita Gaza, lakini Biden Ana uchaguzi, November, asipoisupport Israel, inaweza ikamkosesha kuchaguliwa, katuma shehena nyingine ya siraha Kali, zipo, na bunker blasters!!!! Ni kama mchezo wa kuigiza vile, huku unasema huyu Israel kaua watu Sana Gaza, asitishe Vita, upande wa pili, unampa siraha nzito nyingi! Akafanyie nini sasa, mapambo!!
USA hayupo tayari kuona Hamas inarudi Gaza, ushindi wa Israel ni muhimu ili kuidhibiti Iran,
Na huku kwetu, richa ya kuwa Makonda ni jambazi, Ila samia anamuhitaji politcaly,kwanza ni kutoka jamii ya wasukuma, kwa kanda ya, ziwa,ni potential voting block, lazima ailinde, iwe upande wake, Doti biteko, na Makonda ni strategy.