Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi
Haya mambo yana mwisho. Na mwisho ni mbaya
Vikundi vya waasi hua vinaanzaje?
Vikundi gani vya uasi nchi hii? Embu fanya kautafiti kadogo zunguka kwenye mtaa wako chunguza shughuli zinazoendelea.

Saa hizi watu weshanunua maziwa mgando maji ya ugali yapo jikoni bi mkubwa anafanya mambo huku mzee anabishana kina pacome watakachofanya ijumaa na M10 kwa kila goli wewe unazungumzia vikundi vya uasi?
 
Hii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Ukikaza zaidi hapo TANESCO unapanda cheo, si unajua tena uchawa unawapa watu maisha
 
Basi hiyo imeishia saa 8:22 , na sasa tunaanza upya.

Nikiripoti kutoka mkoa wa Bw. Dawood
Alb Bashite, mimi ni Venooooos
Arusha umekatika usiku pia, nimeshtuka saa 03:4am nje ni giza totoro. Mpaka sasa ni kimya kabisa.
 
Hii nchi hii tunachekeana sana na kulinda uzembe na underperfomances.

Muda mwingine unaona ni bora uwe na Rais dikteta mwenye akili ambaye akibaini bila shaka kwamba kuna uzembe au hujuma sehemu wanaohusika wanalambishwa mchanga fasta/za kichwa na kila mtu ajue ili iwe fundisho.
 
Tunamshukuru Maza kwa kukatika umeme.
 
Katikati ya changamoto tambua kuna wachache wanao neemeka. Kubali au Kataa
 
Wamepukuchua mabilioni kipigaji!....kujengea bwawa la mwl, Nyerere,...

Umeme tunaopata sasa kwa MGAO... Ni afadhali mara 100 ya umeme tuliokuwa tukipata mwaka 1999 !

Tukiwa na vyanzo vichache tu kidatu, mtera, nyumba ya mungu... n. k
 
Back
Top Bottom