Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi
Sisi Mainjinia wa mtaani tungependa kujua kwa kina juu ya hii hitilafu inayokata umeme nchi nzima ni hitilafu inayohisu mashine ipi au nyaya zipi zikiwa sehemu gani na sababu yake ni nini?
Bila hivyo hawa mainjinia wa mchongo wote sukuma ndani.
there is no accidental fault in science

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Wajanja wanatengeneza tatizo taratiiiibu ili wapige mkwanja wa kutengeneza Gridi mpya ya Taifa stuka. Utaambiwa waya zote zilizopo Gridi ya Taifa hazifai kubeba umeme mkubwa unaofuliwa huko Rufiji kama hamtaki kaeni gizani.
Mwishowe mnapigwa Trilioni 4 kubadilisha.

Waya zikiwekwa mnaambiwa zile Tower/nguzo zimezeeka tubadili. Tunalaghaiwa sana, nchi yetu haiitaji kiingozi wa kucheka na nyani.
 
Tengeneza tatizo, ionekane ulazima wa kubinafsisha kitu. Bandari, DART, now Tanesco [emoji16] - Alisikika Mlevi mmoja akisema.
 
Elimu ya VETA ya umeme wa nyumbani wa kunyoosha nguo na kuwasha Maisha Magic Bongo tv sio sawa umeme wa nchi nzima ,hata terminology hautazielewa..

Kila mtu atulie katika nafasi yake.
 
Mie tangu usiku nimelala gizani

Kumbe ze whole kantri tupo gizani hadi mchana huu
 
Tengeneza tatizo, ionekane ulazima wa kubinafsisha kitu. Bandari, DART, now Tanesco [emoji16] - Alisikika Mlevi mmoja akisema.
Wamegundua hata wauze nchi nzima hakuna wa kuwafanya lolote
 
Elimu ya VETA ya umeme wa nyumbani wa kunyoosha nguo na kuwasha Maisha Magic Bongo tv sio sawa umeme wa nchi nzima ,hata terminology hautazielewa..

Kila mtu atulie katika nafasi yake.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wengine tumelala Giza tokea usiku mpaka Sasa hakuna umeme, ,
Wengi hawafahamu maana ya siku kama ya leo siku ya wajinga.Hii siku ni kweli historia inaonyesha zanani wajinga waliitumia siku hii kuonyesha ujinga wao

Leo Tanesco wanaonyesha ujinga wao kama sehemu ya kusherehekea siku hii inayohusu wajinga wote duniani ikiwemo Tanesco ya Tanzania kwa vitendo kwa kukata umeme
 
Elimu ya VETA ya umeme wa nyumbani wa kunyoosha nguo na kuwasha Maisha Magic Bongo tv sio sawa umeme wa nchi nzima ,hata terminology hautazielewa..

Kila mtu atulie katika nafasi yake.
wewe taja hapa tudadavue
 
Combinations ya idara ya maji na TANESCO sikia tu kwa jirani
Hasa ikiungana na usafiri kwa ujumla wake.

Basi serikali ianzishe tahsusi mpya mashuleni inayoitwa HTE: Haidro, Transportation & Electricity, badala ya ile Arabik.

Mwisho, napenda kumshukuru sana Sa100 kwa komenti yangu.
 
Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi!

Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu?
==============

View attachment 2950489

Tanesco inafanya majukumu makubwa matatu...

1. Uzalishaji umeme
2. Usafirishaji umeme (baada ya kuzalishwa)
3. Usambazaji umeme (uliokwisha safirishwa)

1 na 2 vikizingua, sehemu kubwa ya nchi huathirika, 3 ikizingua huwa ni baadhi ya sehemu tu...

Kwa sasa inaonesha kilichozinguq ni 2 pekee...

Conclusion, jamaa wanatatua 1, bila kuandaa 2...

Si ajabu wamezalisha umeme mwingi kuliko uwezo wa kusafirisha (just thinking)
 
Wengi hawafahamu maana ya siku kama ya leo siku ya wajinga.Hii siku ni kweli historia inaonyesha zanani wajinga waliitumia siku hii kuonyesha ujinga wao

Leo Tanesco wanaonyesha ujinga wao kama sehemu ya kusherehekea siku hii inayohusu wajinga wote duniani ikiwemo Tanesco ya Tanzania kwa vitendo kwa kukata umeme
Dah!
 
Eneo nililopo Mbagala umeme ulikatika usiku wa manane kabla ya saa nane usiku mpaka hivi sasa saa mbili na asubuhi umeme haujarudi.

Ni hivi karibuni mheshimiwa alisema mtambo mmoja mpya umewashwa huo ndio mwisho wa kukatika kwa umeme, umeme ndio huo umekatika.

Hivi hawa viongozi wa CCM kwanini wanakuwa na haraka ya kutatua matatizo kwa mdomo!
Hivi Sasa ni saa Tano kamili na hakuna umeme.

Mama anaendelea kuupiga mwingi.
 
Hasa ikiungana na usafiri kwa ujumla wake.

Basi serikali ianzishe tahsusi mpya mashuleni inayoitwa HTE: Haidro, Transportation & Electricity, badala ya ile Arabik.

Mwisho, napenda kumshukuru sana Sa100 kwa komenti yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom