Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi
Hii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Mawazo chanya ndio haya mkuu?

Hitilafu kwenye miundombinu? Ipi? Wapi?
  • Taarifa yenyewe tu inasema saa 8.22, sasa ni usiku au mchana haijulikani!
  • Hitilafu ya miundombinu ikitokea kwa watu wa maji, wanasema mara Ruvu chini, mara bomba limepasuka kibaha n.k

  • Wao sasa, wanatuona wote sisi ni punguani wa chama cha kijani sio?
  • Waseme hitilafu hiyo ni ipi?
  • Imetokea wapi?
  • Timeline ya kurekebisha.
  • Measures to be taken ku-avoid lisitokee tena!

Mpaka hapa, hakuna miundombinu ya Tanesco watakayoisema asitokee mwananchi mmoja akaelewa au kuifahamu na kutujuza, waweke hadharani hiyo hitilafu!
- Na kama ni national grid yote imeanguka, huo ni uhaini, na inajulikana utaratibu wa wahaini, ufuatwe.

Waache kujificha kwenye kichaka cha "miundombinu", nini ni TATIZO?
 
Pamoja na madhaifu yake mengine ila yule bwana kwenye hii Sector aliupiga mwingi R.I.P
 
Tatizo ni siku watakayojitambua!
wanaojitambua ndio wanajua umuhimu wa ustahimilivu 🐒

wasio jitambua na wasio na ustahimilivu, si ndio kama jamaa yule wa kule Iringa alomuua mwanae wa miezi4 ili achangiwe pesa na members wa kikundi chake, ili akalipie madeni anayodaiwa 🐒
 
Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi!

Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu?
==============

View attachment 2950489
huu sio mgao, ni hitilafu kama ambavyo umeripoti na kiambatanisho cha taarrifa ya Tanesco na wameomba radhi kwa umma 🐒

Mgao huwa una ratiba kabisa,
sasa hiyo taarifa na ratiba ya mgao iko wap 🐒
 
Hii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Ukiona hitilafu kwenye mfumo wa usafirishaji wa umeme elewa kuwa ni uzembe wa mtu tu.

Ikiwa si uzembe ni hujuma.
 
Halafu tunajinasibu tunataka kuuza umeme nchi jirani😇
 
Back
Top Bottom