greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Ah huyo jamaa ni pro max balaaImfikie @lucas_mwashambwa. Tuendelee kumshukuru mama. Anaupiga mwingi hadi unamwagika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah huyo jamaa ni pro max balaaImfikie @lucas_mwashambwa. Tuendelee kumshukuru mama. Anaupiga mwingi hadi unamwagika.
😂 hii nchi ina mambo ya ajabu ajabu sana, unaitisha press unawatania watanzania.Kama Yale ya Ndumbaru
Hahahahahaaha Acha tu Ndugu yangu. Hii ni route ya Meli yetu huko ziwa victoria😂 hii nchi ina mambo ya ajabu ajabu sana, unaitisha press unawatania watanzania.
Sasa mkuu kilingeni umeme wa nini?! Si uwashe mishumaa tu! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️😂 huku tangu jana mchana
Huku Kilingeni tangu jana mchana
hiyo meli kuna muda inakuwa gari, ndege, treni, punda 😂😂Hahahahahaaha Acha tu Ndugu yangu. Hii ni route ya Meli yetu huko ziwa victoria
View attachment 2950482
Inakua fisi sometimeshiyo meli kuna muda inakuwa gari, ndege, treni, punda 😂😂
Sijui wanatuonaje
Nipo Tegeta Ndevu kwa Ras Mtimanyongo Umeme hamna 🐼Aione johnthebaptist tokea usiku wa masita bila bila. Hii achilia mbali zile kata kata zinazowaulia kina Miss_Mariaah "Brenda" zao ka wanavyoziita.
Umekatika saa nane usiku mpaka sasa mbili asubuhi bado kimya.
Update: Naskia huko nje wanasema na maji yamekatika.
Sisi Mbeya hamna umeme Toka usiku wa janaHii ni hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya umeme sio mgao wa umeme! Ingekua ni mgao wasingekata usiku wa manane. Tuwe na mawazo chanya sio mawazo hasi siku zote!
Huku SGR Mjusi kasimama 😂🔥Umekatika saa nane usiku mpaka sasa mbili asubuhi bado kimya.
Update: Naskia huko nje wanasema na maji yamekatika.
Mvua zimenyesha sana ,maji yamekuwa mengi sana machine zinashindwa kusukuma hivyo subiri I yapunguweTuliambiwa mgao wa umeme sasa basi!
Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu?
hitilafu gani hii kila baada ya wiki inatokea hitilafuTanzania kama JEHANAM View attachment 2950471View attachment 2950472
😂 huku tangu jana mchanaTanzania kama JEHANAM View attachment 2950471View attachment 2950472
Huku Kilingeni tanguWengine tumelala Giza tokea usiku mpaka Sasa hakuna umeme, ,
😂😂😂😂Sema leo tarehe 1 april wasijekuwa wanatake advantage baadae wakihojiwa waseme walikuwa wanatania maana ni siku ya ujinga.