Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

Bachelor of Rural Development nayo ni course Ngumu ?maajabu kwa SUA ongelea course zingine ila sio hiyo.
 
Safi kabisa, umemjibu kiufasaha kabisa... Mwambie atoke hapo aende mzumbe akawaulize sheria nao watasema chuo kigumu,Nenda Udom kamuulize mwanafunzi yeyote hali ikoje atakuambia chuo kigumu xo nafikiri asituletee sifa za kijinga hapa kama pagumu kavae sketi fupi na tai kasomee front office na hotel management huko...
NB*usifikiri kuna chuo ya Eng ya serikali rahisi.
 
Hakuna Chuo rahisi duniani.Vyuo vyote usiposoma sapp na disco ni vyako.Hivyo heshimu Chuo.
 
na ndomana nilipo malizaga six tu na PGM yangu nikajikita jeshini nimejiepusha na uwo mzigo wa stress...
 
kama usiposoma na kuelewa hata form two utafeli tu
 
SUA pakavu sana mtu anapata 49.9 na ufaulu unaanzia credit yan C bado wanakurudisha sap sio mchezo sua
 
Pagumu zaidi ni Mzumbe, licha ya mambo yote kama hivyo Vyuo vingine, lakini pia mfumo wao wa disco ni very complicated than vyuo vyote TZ
 
Bila shaka wew ni Mwanafunzi wa Environmental Engineering, Sidhan kama Environmental imekaza zaid ya Architecture
 
Kimaliza SUA hutamani kurudi asilani!master's utasoma mzumbe ama UDSM
Wakati namaliza first degree SUA 2012, kuna bidada wawili walitokea UDSM wakaja kusoma masters SUA wakidhani ni chips mayai.
Huko UDSM walitoka na first class za nguvu, lakini after first semester mmoja aliacha. Mwingine alikonda mpaka akawa miss. Hata hivyo naye aliliwa kichwa!

>>>>>>>>>>
Unakuta chuo wanamaliza labda watu 1000 first degree halafu eti 200 au 100 kati yao wana first class[emoji57]
 
Hakuna chuo cha serikali kirahisi asee japo kuna vigum kupitiliza udsm conas..sua na muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…