ni kwamba defence yetu nzuri msimu huu.
ni kwamba defence yetu nzuri msimu huu.
Guyz mnadefense mbaya kwenye premier league! hata kama mtafanyaje lazima mtafungwa tu....!
tatizo kubwa hapa naliona ni almunia kusema kweli.back 4 hiko powa tu na varmelen ni beki mzuri sana tumemuongeza.tatizo kubwa hapa ni kipa.mie naona almunia hatokuwa na mda mrefu labda kama ata improve.yuko too relax kwa vile hana mtu wa kumchallenge.kwenye big four kwa defence chelsea na man united got the best defence thats true hakuna ubishi....Kweli kabisa.
Hatuna Goal Keeper mazee! Arsenal tulikuwa hatuna wasiwasi enzi za Seaman, kisha Lehmann kuongoza safu ya Defence.
Almunia tamaa yake alidhani ataitwa kudakia England! Tangu apewe live hilo halitawezekana naye kageuka mdebwedo!
Goal keeper anausoma mchezo, anaisoma defence na mashambulizi yanavyokuja, anaipanga defence naye kujipanga wapi pa kujilinda... huyu wetu boooonge la mdebedo! anasubiria Penalti tu asifiwe mwenyewe... hatufai!
Van de Sar analindwa na Vidic na Rio, Chelsea kuna JT na Cech wote wataalamu kusoma mashambulizi,... Almunia hajui kusoma mashambulizi, wala kuipanga defence yake!
Kazubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sasa zaidi ya game ya man city ndio defence ilikuwa shaky lakini game ya jana kama ujaangalia goli la kwanza ni kosa la eduardo na lapili offcourse a stupid foul by gallas but that doesnt make the overal defence to be poor.there is enough time to prove one of us is wrong.Kijana ur sick...do you watch Arsenal games? Umeangalia jana na Standard Liege.. goli zile na Man City? Tukiacha ushabiki wewe hujui soccer! Ngoja nimsubirie rafiki yangu Mbu
point ni kwamba hizo mechi zako mbili unazotumia kujaji beki yetu ni ndogo sana na ndio maana nakwambia time will tell n if i am wrong i will admit it right here.I Love MBU kwenye soccer wengine wapiga kelele....sorry ladies, gentleman and hermaphrodites...
tatizo kubwa hapa naliona ni almunia kusema kweli.back 4 hiko powa tu na varmelen ni beki mzuri sana tumemuongeza.tatizo kubwa hapa ni kipa.mie naona almunia hatokuwa na mda mrefu labda kama ata improve.yuko too relax kwa vile hana mtu wa kumchallenge.kwenye big four kwa defence chelsea na man united got the best defence thats true hakuna ubishi.
Ni kweli kabisa MBU Man kuna GNevile,Rio,Rooney.Liva kuna Gerard,Caragher,Benayoun na Blues wana Tery,Essien,Lampard,Drogba nyie hao watoto wakichemsha hakuna mtu wa kuwakoromea nakumbuka kuna kipindi Roy Keane aliwaponda live wachezaji wa Man wakati akihohijwa na MUTV...No wonder defence yetu ya wakati ule ilikuwa inamhenya Lehmnan, jamaa hata makofi alikuwa anawachapa... Walcott ndio kabisaaa hata defence alikuwa haendi hata team ikizidiwa...
Almunia amekaa kizezeta zezeta hivi, sijui hata kama anauwezo wa kumfokea mchezaji yeyote. Angalia wakati wa freekicks, unamuona kabisa hana authority, kelele zote anazopiga hazisikilizwi...
Kolo Toure will be highly missed, maana tangu Gallas anyang'anywe armband kaufunga ndiii mdomo wake...
Team haina motivators, team haina natural leaders,... ipo ipo tu...I wish Captain Viera angesajiliwa, hata kama kocha mchezaji...maana sijui hata kama sasa anauwezo wa kucheza game 15 tu za EPL...
Enzi za Henry, Lauren, Campbell, Viera, Ljunberg na Bergkamp unahisi hasa team ilikuwa na natural leaders...
...No wonder defence yetu ya wakati ule ilikuwa inamhenya Lehmnan, jamaa hata makofi alikuwa anawachapa... Walcott ndio kabisaaa hata defence alikuwa haendi hata team ikizidiwa...
Almunia amekaa kizezeta zezeta hivi, sijui hata kama anauwezo wa kumfokea mchezaji yeyote. Angalia wakati wa freekicks, unamuona kabisa hana authority, kelele zote anazopiga hazisikilizwi...
Kolo Toure will be highly missed, maana tangu Gallas anyang'anywe armband kaufunga ndiii mdomo wake...
Team haina motivators, team haina natural leaders,... ipo ipo tu...I wish Captain Viera angesajiliwa, hata kama kocha mchezaji...maana sijui hata kama sasa anauwezo wa kucheza game 15 tu za EPL...
Enzi za Henry, Lauren, Campbell, Viera, Ljunberg na Bergkamp unahisi hasa team ilikuwa na natural leaders...