Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ni kwamba defence yetu nzuri msimu huu.

Kijana ur sick...do you watch Arsenal games? Umeangalia jana na Standard Liege.. goli zile na Man City? Tukiacha ushabiki wewe hujui soccer! Ngoja nimsubirie rafiki yangu Mbu
 
I Love MBU kwenye soccer wengine wapiga kelele....sorry ladies, gentleman and hermaphrodites...
 
Kusema kweli hizi mechi tatu ambazo Arsenal imecheza wameonyesha defensi yao mdebwedo, whether makosa ni madogo au makubwa bado yamewacost na mkiendelea yatawacost zaidi.
 
Guyz mnadefense mbaya kwenye premier league! hata kama mtafanyaje lazima mtafungwa tu....!

...Kweli kabisa.

Hatuna Goal Keeper mazee! Arsenal tulikuwa hatuna wasiwasi enzi za Seaman, kisha Lehmann kuongoza safu ya Defence.

Almunia tamaa yake alidhani ataitwa kudakia England! Tangu apewe live hilo halitawezekana naye kageuka mdebwedo!

Goal keeper anausoma mchezo, anaisoma defence na mashambulizi yanavyokuja, anaipanga defence naye kujipanga wapi pa kujilinda... huyu wetu boooonge la mdebedo! anasubiria Penalti tu asifiwe mwenyewe... hatufai!

Van de Sar analindwa na Vidic na Rio, Chelsea kuna JT na Cech wote wataalamu kusoma mashambulizi,... Almunia hajui kusoma mashambulizi, wala kuipanga defence yake!

Kazubaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
tatizo kubwa hapa naliona ni almunia kusema kweli.back 4 hiko powa tu na varmelen ni beki mzuri sana tumemuongeza.tatizo kubwa hapa ni kipa.mie naona almunia hatokuwa na mda mrefu labda kama ata improve.yuko too relax kwa vile hana mtu wa kumchallenge.kwenye big four kwa defence chelsea na man united got the best defence thats true hakuna ubishi.
 
Kijana ur sick...do you watch Arsenal games? Umeangalia jana na Standard Liege.. goli zile na Man City? Tukiacha ushabiki wewe hujui soccer! Ngoja nimsubirie rafiki yangu Mbu
sasa zaidi ya game ya man city ndio defence ilikuwa shaky lakini game ya jana kama ujaangalia goli la kwanza ni kosa la eduardo na lapili offcourse a stupid foul by gallas but that doesnt make the overal defence to be poor.there is enough time to prove one of us is wrong.
 
I Love MBU kwenye soccer wengine wapiga kelele....sorry ladies, gentleman and hermaphrodites...
point ni kwamba hizo mechi zako mbili unazotumia kujaji beki yetu ni ndogo sana na ndio maana nakwambia time will tell n if i am wrong i will admit it right here.
 
tatizo kubwa hapa naliona ni almunia kusema kweli.back 4 hiko powa tu na varmelen ni beki mzuri sana tumemuongeza.tatizo kubwa hapa ni kipa.mie naona almunia hatokuwa na mda mrefu labda kama ata improve.yuko too relax kwa vile hana mtu wa kumchallenge.kwenye big four kwa defence chelsea na man united got the best defence thats true hakuna ubishi.

...No wonder defence yetu ya wakati ule ilikuwa inamhenya Lehmnan, jamaa hata makofi alikuwa anawachapa... Walcott ndio kabisaaa hata defence alikuwa haendi hata team ikizidiwa...

Almunia amekaa kizezeta zezeta hivi, sijui hata kama anauwezo wa kumfokea mchezaji yeyote. Angalia wakati wa freekicks, unamuona kabisa hana authority, kelele zote anazopiga hazisikilizwi...

Kolo Toure will be highly missed, maana tangu Gallas anyang'anywe armband kaufunga ndiii mdomo wake...

Team haina motivators, team haina natural leaders,... ipo ipo tu...I wish Captain Viera angesajiliwa, hata kama kocha mchezaji...maana sijui hata kama sasa anauwezo wa kucheza game 15 tu za EPL...

Enzi za Henry, Lauren, Campbell, Viera, Ljunberg na Bergkamp unahisi hasa team ilikuwa na natural leaders...
 
Ni kweli kabisa MBU Man kuna GNevile,Rio,Rooney.Liva kuna Gerard,Caragher,Benayoun na Blues wana Tery,Essien,Lampard,Drogba nyie hao watoto wakichemsha hakuna mtu wa kuwakoromea nakumbuka kuna kipindi Roy Keane aliwaponda live wachezaji wa Man wakati akihohijwa na MUTV
 
...No wonder defence yetu ya wakati ule ilikuwa inamhenya Lehmnan, jamaa hata makofi alikuwa anawachapa... Walcott ndio kabisaaa hata defence alikuwa haendi hata team ikizidiwa...

Almunia amekaa kizezeta zezeta hivi, sijui hata kama anauwezo wa kumfokea mchezaji yeyote. Angalia wakati wa freekicks, unamuona kabisa hana authority, kelele zote anazopiga hazisikilizwi...

Kolo Toure will be highly missed, maana tangu Gallas anyang'anywe armband kaufunga ndiii mdomo wake...

Team haina motivators, team haina natural leaders,... ipo ipo tu...I wish Captain Viera angesajiliwa, hata kama kocha mchezaji...maana sijui hata kama sasa anauwezo wa kucheza game 15 tu za EPL...

Enzi za Henry, Lauren, Campbell, Viera, Ljunberg na Bergkamp unahisi hasa team ilikuwa na natural leaders...

Usimsahau Pires kamanda......!
 
naona reo-coker kataga kumpiga martin oneil sijui huko kwenye training lol.jamaa wanasema anaweza kuuzwa january,nilikuwa nafikiria sijui wenger amnunue tu hili na sisi tuweke "mtemi" pale midfield manake naona defensive midfield yetu hipo nyanya (weak) sana.tunahitaji mtu kama reo-coker wakupiga piga buti na kufanya ubabe pale kati hili kumlinda fabregas ambae kadi nyekundu kwake yeye powa tu anaona.wenzetu wote wanao risk taker wao man united fletcher au scholes,chelsea kuna obi pale, liverpool wana macherano,spurs wana palacios.
 
TEAM NEWS Arsenal v Wigan
Robin van Persie returns for Arsenal having missed their Champions League victory at Standard Liege on Wednesday. He is partnered up front by Eduardo, who scored the winner in Belgium. Vito Mannone continues in goal in the continued absence of Manuel Almunia and Lukasz Fabianski.
 
GOAL FOR ARSENAL! Vermaelen hammers in a header from the corner as he catches Wigan's defence static. Great finish 1-0
 
Wigan inabidi waendeleze buti kama wanataka kushinda au kutoa sare.
 
GOAL FOR ARSENAL! Vermaelen hits his second! Superb finish from the defender, and not the kind of finish you'd expect from a centre-back! He exchanges passes with Eboue and curls a deft effort into the top-left corner from the edge of the Wigan area. 2-0 to Arsenal!
 
GOAL FOR ARSENAL! Eduardo sweeps the ball in from 12 yards. Clichy crosses to the far post where Eduardo lashes a volley which Kirkland gets a fingertip on to divert onto the post. The rebound comes out and Eduardo reacts quickest to make it 3-0.
 
Back
Top Bottom