...No wonder defence yetu ya wakati ule ilikuwa inamhenya Lehmnan, jamaa hata makofi alikuwa anawachapa... Walcott ndio kabisaaa hata defence alikuwa haendi hata team ikizidiwa...
Almunia amekaa kizezeta zezeta hivi, sijui hata kama anauwezo wa kumfokea mchezaji yeyote. Angalia wakati wa freekicks, unamuona kabisa hana authority, kelele zote anazopiga hazisikilizwi...
Kolo Toure will be highly missed, maana tangu Gallas anyang'anywe armband kaufunga ndiii mdomo wake...
Team haina motivators, team haina natural leaders,... ipo ipo tu...I wish Captain Viera angesajiliwa, hata kama kocha mchezaji...maana sijui hata kama sasa anauwezo wa kucheza game 15 tu za EPL...
Enzi za Henry, Lauren, Campbell, Viera, Ljunberg na Bergkamp unahisi hasa team ilikuwa na natural leaders...