Hapo vipi? Gunners mna matarajio ya kutoka salama? Fabianski uchochoro tu ... poleni.
Na bado na bado na bado...
Na bado...
j4 na Liver
na ile j5 nyingine na Man Utd ...
Makombe mtayasikia kwenye bomba ...
Watakuja wakati mechi imeisha na wakifungwa basi tegemea kuwaona baada ya mechi ya jumanne.
poleni washika bunduki, mwaka huu hampo vizuri jipangeni kwa ajili ya mwaka mwingine. But you still have duty to defeat Liverpool, we will provide all necessary support.
ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati
...ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati π
Afadhali hata lingekuwa kombe la mbuzi π, mshindi anapata kuku 6 na mayai ya kuchemsha 10 ha ha ha Hmmm! sizitaki hizi mbichi π
As well as being presented with the trophy, the winning team also qualifies for the UEFA Cup (to be renamed the UEFA Europa League from the 2009-10 season onwards). Historically, if the winners have already qualified for the UEFA Champions League via the Premier League, the UEFA Cup place goes to the FA Cup runners-up. However, UEFA has changed the requirements for this runners-up rule. Beginning with the UEFA Europa League, the UEFA Cup place will be given to the highest finishing Premier League team that has not qualified for European competition if the winner of the FA Cup has already qualified.
...ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati π
Nijuavyo arsenal hawaweki nguvu zao kwenye makombe yasio na kichwa na miguu kama hili la bati FA
..tell 'em YO YO tell em!!!
...hatulitaki hilo, kwanza tushatwaa makombe yoooote hayo isipokuwa la Champions league, tumewapa ushindi machokoraa wa darajani ili nao wajisikie, 1947 zamani ati!!!!!!!!
...We will be right back!!