Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal 1 Chelsea 1, kwenye semifinal ya FA Cup
 
Hapo vipi? Gunners mna matarajio ya kutoka salama? Fabianski uchochoro tu ... poleni.
 
Hapo vipi? Gunners mna matarajio ya kutoka salama? Fabianski uchochoro tu ... poleni.

Watakuja wakati mechi imeisha na wakifungwa basi tegemea kuwaona baada ya mechi ya jumanne.
 
Dakika ya 84 Drogba anafunga la pili Chelsea 2 Arsenal 1 🙁
 
Mpira umeisha ndoto zetu za kucheza kwenye fainali ya FA Cup zimefikia ukingoni.
 
Hahahahahahahahahaha thanks Arsenal for the good game! lakini Final ni chelsea
 
Na bado na bado na bado...
Na bado...
j4 na Liver
na ile j5 nyingine na Man Utd ...

Makombe mtayasikia kwenye bomba ...
 
poleni washika bunduki, mwaka huu hampo vizuri jipangeni kwa ajili ya mwaka mwingine. But you still have duty to defeat Liverpool, we will provide all necessary support.
 
Na bado na bado na bado...
Na bado...
j4 na Liver
na ile j5 nyingine na Man Utd ...

Makombe mtayasikia kwenye bomba ...

Huwezi kutegemea timu kufanya vizuri ikiwa wachezaji wake watatu ambao ni muhimu kwenye ngome, wako kwenye majeruhi na hao ni Gallas, Clinchy na Kipa hivyo ngome leo ilikuwa ni midebwedo mitupu, I hope watakuwa available katika mechi yetu ya League na L'pool hapo J'nne na MANU katika UEFA siku 10 zijazo vinginevyo timu hizo mbili zinaweza kufanya karamu ya magoli.
 
Watakuja wakati mechi imeisha na wakifungwa basi tegemea kuwaona baada ya mechi ya jumanne.
poleni washika bunduki, mwaka huu hampo vizuri jipangeni kwa ajili ya mwaka mwingine. But you still have duty to defeat Liverpool, we will provide all necessary support.

...ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati 🙂
 
ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati

Kwi kwi kwi kufungwa mtu asikuambie bwana loooh
 
...ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati 🙂

Afadhali hata lingekuwa kombe la mbuzi 😉, mshindi anapata kuku 6 na mayai ya kuchemsha 10 ha ha ha Hmmm! sizitaki hizi mbichi 🙂
 
Afadhali hata lingekuwa kombe la mbuzi 😉, mshindi anapata kuku 6 na mayai ya kuchemsha 10 ha ha ha Hmmm! sizitaki hizi mbichi 🙂

BAK.... hiii kali

wenyewe wanasema kombe la KINESI, mgeni rasmi diwani wa kata ya england pacha wa mr. bean
 
...kwenye FA Cup, team zinazishiriki ni kwa mfumo wa "Sandakalawe, Amina, mwenye kupata..." ...uzuri wake upo kwenye hili;

As well as being presented with the trophy, the winning team also qualifies for the UEFA Cup (to be renamed the UEFA Europa League from the 2009-10 season onwards). Historically, if the winners have already qualified for the UEFA Champions League via the Premier League, the UEFA Cup place goes to the FA Cup runners-up. However, UEFA has changed the requirements for this runners-up rule. Beginning with the UEFA Europa League, the UEFA Cup place will be given to the highest finishing Premier League team that has not qualified for European competition if the winner of the FA Cup has already qualified.

...zaidi ya hapo ni 'michosho' tu! 🙂
 
...ARSENAL imecheza leo? aaarrrgghh, sina taarifa, kombe la mbuzi nini? ndio maana ati 🙂

Na bado, siku chache zilizopita nilikwambia uangalie ratiba ya mechi zenu sasa ndio safari imeanza!

Poleni watani na wale Ze bluuz hongereni.
 
Nijuavyo arsenal hawaweki nguvu zao kwenye makombe yasio na kichwa na miguu kama hili la bati FA
 
Nijuavyo arsenal hawaweki nguvu zao kwenye makombe yasio na kichwa na miguu kama hili la bati FA

..tell 'em YO YO tell em!!!

...hatulitaki hilo, kwanza tushatwaa makombe yoooote hayo isipokuwa la Champions league, tumewapa ushindi machokoraa wa darajani ili nao wajisikie, 1947 zamani ati!!!!!!!!
 
..tell 'em YO YO tell em!!!

...hatulitaki hilo, kwanza tushatwaa makombe yoooote hayo isipokuwa la Champions league, tumewapa ushindi machokoraa wa darajani ili nao wajisikie, 1947 zamani ati!!!!!!!!

Sizitaki mbichi hizi, mngefikisha timu nusu fainali? Nyie ata Inter Toto mngeshiriki kwa jinsi mlivyo na ukame na silverware.
 
Back
Top Bottom