Ngoja tutoe elimu ya bure kwa false hopers wote humu ndani kina castr , mkorea , henry na wengine wote.
Cha kwanza kabisa muelewe huu ni mpira hauendeshwi na false hopes bali performance ndani ya uwanja, ili uweze kuwa bingwa atleast uwe na 3 world classic players ndani ya team yako.
Beki 1 ambae ni world classic player , kiungo mmoja na striker mmoja wasipungue zaidi ya hapo , na kama sehemu mmoja kati ya hizo 3 hamna basi mbele pawepo na zaidi ya mmoja.
Amini amini nakuambia huwezi chukua ubingwa kwa kumtegemea martinelli , trossard , kai , saka na gabriel jesus . This are average players lakini ndani ya ulimwengu wa matumaini bandia kwenu ni kama world classic player ndo tatizo hilo linapoanzia.
World classic player pale arsenal ni mmoja tu william saliba halafu ni beki sasa ndo kama mnavyoona defence nzuri , tukija kati zero tukienda mbele zero mnabaki kushikana mashati na wengine kulikimbia jukwaa