Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
February around tarehe za 20, pale juu atakua arsenalUpo serious kaka au humu mnakuja kufanya comedy as arsenal fans?? Baada ya muda mnapotea jokes zikiiisha . Embu mtujuze mapema tushaanza kupata wasiwasi asee!!
Fact.Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.
Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .
Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .
Arsenal ana standard gani mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
Ubingwa hamna, hiyo ni rasmi.We don't deserve to be champion... No hungry on this team. Kuna muda unaona mchezaji ana nafasi ya kupeleka mpira mbele lakini anafanya turn over mpaka unajiuliza anafikiria nini.
Arteta katufikisha hapa, ni majonzi tu 5 years.Sometimes hua inachekesha ila ndiyo inakua imeshatokea. We did everything wrong kuanzia team selection na ideas za Arteta mpaka team kuanzisha mashambulizi na kwenda mbele.
Tulicheza dhidi ya united Martinelli alipata mpira akawa 1 v 1 against Dalot akiwa katikati ya uwanja, akafalse dribble mpaka usawa wa ball boy kisha akageuka akarudisha mpira nyuma. Quality kubwa ya Martinelli ni pace, Henry akasema wakati anacheza mpira akigewa pasi akajikuta usawa wa ball boy basi huyo beki atakua na kazi ya kumkamata.
Decent wingers do this. Martinelli used to do this. Kisha ghafla timu nzima ina ugonjwa mmoja, sideways passes na back passes. Ndiyo sababu Nwaneri anaonekana threat kwavile yeye akipata mpira anafight kwenda mbele.
Mitandaoni unaona baadhi ya mashabiki wanasema pengine hii blessing in disguise. Itaforce kusajili. Nikawaambia ni ngumu kupata decent signing in January, wakajenga hoja mbona Virgil alisajiliwa January? I never knew this but haitoi ishara yoyote kwetu.
Kwanza, Arteta anasema anataka afocus na solutions za ndani, jana was among the internal solutions, pili haamini kama kuna fursa nzuri sokoni.
City smashed Westham 4 - 1. Uchawi upo blah blah but City is 11 points from first position kama akimsajili Omar na Ederson mpaka February inakuja tutakua na title race mpya kabisa.
Seriousness ya Arsenal inabidi ireflect nje ya uwanja. Dirisha hili
Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
You are delulu bro! Wote tunaipenda hii timu, ila daaaah mahaba yamekuzidi mzee.Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
Enzo Maresca na Arne slot mazingira waliyoyakuta ni kwamba timu zilikuwa zimeshaundwa, Klopp aliiunda liverpool kabla ya kuondoka lkn pia liverpool walifanikiwa kuwabakisha wachezaji ambao ni all timer km Van dijk, Salah, Trent na beka, kwa upande wa The blues Boehly aliuunda chelsea kwa pesa nyingi, unaijua bei ya Mudyk, enzo fernandes au caicedo? hivyo ni sahihi kwa makocha hao kuonesha wanachokionesha regarding to their skillset.Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.
Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .
Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .
Arsenal ana standard gani mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
Kuwa Serious mkuu, Kweli mna majeraha kuzidi timu nyingine!!??Enzo Maresca na Arne slot mazingira waliyoyakuta ni kwamba timu zilikuwa zimeshaundwa, Klopp aliiunda liverpool kabla ya kuondoka lkn pia liverpool walifanikiwa kuwabakisha wachezaji ambao ni all timer km Van dijk, Salah, Trent na beka, kwa upande wa The blues Boehly aliuunda chelsea kwa pesa nyingi, unaijua bei ya Mudyk, enzo fernandes au caicedo? hivyo ni sahihi kwa makocha hao kuonesha wanachokionesha regarding to their skillset.
kitu kingine liverpool imekuwa na bahati msimu huu, Man city ameregress sababu ya majeruhi na Arsenal pia tunakumbwa na majeruhi na maamuzi mabovu ya marefarii, so ni km liverpool hana mpinzani, in the middle of rebuild tumekuwa kwenye upinzani na the peak City/ Pep ambayo Bayern & Madrid wanapigwa km watoto, sio rahisi kushindana na Guardiola akiwa kwenye ubora wake, watu wa liverpool wanajua, ila kwa shabiki wa Newcastle huwezi kuelewa.
yule shabiki wa newcastle najua ni mamluki la Unyumbu, labda nikuulize, Eddie howe ana mpango gani na Newcastle, kuchukua ubingwa, kwenda uefa au nini? ana muda gani na malengo yake ni yapi au amepata nini?
Eddie howe aliishusha Bournemouth daraja, akaenda kujifunza namna ya ku defend kwa Diego simeon, intensity, profiling hata oop structure, lkn amepata nini kwa muda aliokaa Newcastle?