Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuliaminishwa Odegaard ni playmaker mzuri EPL, mbona magoli ya open play yamepotea ? !!! Alikuwa vizuri tu ule msimu mlikaribia kuchukua ubingwa,,baada ya hapo hakuna lolote !
 
Ila hamiss alizidisha duuuh!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumfananisha Harvez na hizo kima nyingine zote mimi haikuniuma. Kilichoniuma ni kuifananisha hiyo takataka yake na King Ng'olo Kante.
Hakika kwa hili Mc Masingeli hastahili kusamehewa, anatakiwa akamatwe afikishwe mahakama kuu afunguliwe kesi ya Uhaini.
 
Ila Kai kamzidi hata Nunez kwa strike mbovu...
Anapoteza nafasi nyingi sana za wazi. Jana clear chance kabisa,sijaelewa alipigapigaje mpira ukatoka nje juu ya mwamba na alikuwa karibu kabisa na goal line.

Huyu jamaa mmepigwa.
 
Imetosha sasa man u endeleeni kujenga timu, bado hamjafika ila mwanga upo lakini bado sana kukaa sawa
 
2022/23
"Huu msimu kombe sio malengo yetu, lengo ni kufuzu uefa na kutengeneza timu ambayo itaanza kupambania makombe msimu ujao.
Tukichukua msimu huu itakua bonasi tu"

2023/24
Kapa

2024/25
Another kapa loading
Not loading, already kapa just waiting for the formalities.
 
Ngoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
Usije ukarudi hapa kuomba msaada eti kuna vipele vidogo vidogo vimekutokea kuzunguka uume.
 
Wewe wa wapi tena?
1. Uliangalia ile derby ya Man U vs Liverpool? Nani alikuwa anaombea mpira uishe (kumbuka liverpool ndio timu bora kwa sasa)
2. Umeangalia hii mechi na arse8 akiwa kwake na tukiwa pungufu na mabeki wetu wote kila mmoja akiwa amepewa yellow?

United kwa sasa iko vizuri sana.
 
Hahah usinichekeshe bana, timu yetu Bado sana, hatujaingia vizuri kwenye mfumo wa kocha na Bado tuna kazi ya kuleta baadhi ya watu. Mechi mbili kubwa si kipimo halisi, bali kinachotakiwa ni kuwa na consistency na kuutawala mchezo.

Kitu ambacho labda hukijui ni kwamba Kwa Sasa kocha kazi anayofanya ni timu kuutawala mchezo kwanza Kwa maana ya kucheza vizuri Ili kuwa hatarishi Kwa mpinzani Kila wakati tukiwa na mpira hata Kwa muda mchache, kama ulishawahi kuangalia hata mechi kumi za Sporting CP kipindi jamaa ni kocha utaelewa Hilo Kwa maana hatujafikia hata robo yake, huu ni mchakato, taratibu tutakuwa tunajiboresha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nukuu 3 muhimu toka kwa kocha la ball, Masterclass, tactician, The genius, professional football manager Mikel Arteta baada ya kutolewa kwenye mashindano ya FA.


Arteta: I love my players. I love our team and I love how good they are and what they do because in 1000 games, you should loose one and probably it was this one.


Mikel Arteta: "What this team produces every three days is incredible, regardless of what happens... It's very difficult to ask something else of our players.


Mikel Arteta: "Are we going to win big trophies? I don't know."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…