kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Tuliaminishwa Odegaard ni playmaker mzuri EPL, mbona magoli ya open play yamepotea ? !!! Alikuwa vizuri tu ule msimu mlikaribia kuchukua ubingwa,,baada ya hapo hakuna lolote !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumfananisha Harvez na hizo kima nyingine zote mimi haikuniuma. Kilichoniuma ni kuifananisha hiyo takataka yake na King Ng'olo Kante.Ila hamiss alizidisha duuuh!!!!
Na wasi wasi na umri wake atakua below 20, kuna muda alikua anaongea pumba na kusifia kwingi mpaka unajiuliza huyu kaijua arsenal jana!Ila hamiss alizidisha duuuh!!!!
Not loading, already kapa just waiting for the formalities.2022/23
"Huu msimu kombe sio malengo yetu, lengo ni kufuzu uefa na kutengeneza timu ambayo itaanza kupambania makombe msimu ujao.
Tukichukua msimu huu itakua bonasi tu"
2023/24
Kapa
2024/25
Another kapa loading
Yale mahaba yalizidi yule si mdogo yule.Na wasi wasi na umri wake atakua below 20, kuna muda alikua anaongea pumba na kusifia kwingi mpaka unajiuliza huyu kaijua arsenal jana!
Arteta ana cha ku prove tena sajili zenyewe za veterans.
Halafu ni vijana wabichi kabisa.Calafiori na Tomiyasu. Trip shamba, trip gerejiView attachment 3200999
ZIRKZEE ni m'bovu sana lakini kwa beki za arse8 ameonekana striker la dunia.View attachment 3200038Ukiwakuta sasa wanadanganyana mpaka mishipa inawatoka utasikia yani trosadiii trosadiii sijui maliti neliiiii 😅 faken kabisaaaaa. Unafungwa na bruno mwenye matatizo ya macho tokea udogoni😄
Umeongea kitu cha maana sana ambacho hakuna shabiki wa arse8 atataka kukisikia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo huyu jamaa yenu leo mmemuangusha sana, nahisi yeye leo ndio ameumia kuliko shabiki yoyote wa Arsenyo.
Siku nyingi mkiwa mnabebwa jitahidini mbebeke Kima nyie. View attachment 3200041
Usije ukarudi hapa kuomba msaada eti kuna vipele vidogo vidogo vimekutokea kuzunguka uume.Ngoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
Wewe wa wapi tena?Mimi ni united Lia Lia, timu yetu Bado sana lakini arsenal Kuna kitu wanakikosa, hawana "aura" ya aina yoyote ile na hata mentality, wana shida kubwa, nilitegemea timu kama arsenal imekaa muda sana kujengeka basi mechi kwao ingekuwa rahisi zaidi baada ya ile Kadi. Hata aura of authority tu hamna, sajilini aisee, toeni hela aisee, itakuwa kituko mmejenga timu nzuri halafu Kila siku muwe runners. It's not good at all wazee.
Hizi kima roho zimewauma jinsi zilivyobebwa na refa halafu zimefungwa, roho zinawauma zaidi zimekosa sababu ya kumlaumu refa[emoji16][emoji16][emoji16]Umeongea kitu cha maana sana ambacho hakuna shabiki wa arse8 atataka kukisikia.
Hahah usinichekeshe bana, timu yetu Bado sana, hatujaingia vizuri kwenye mfumo wa kocha na Bado tuna kazi ya kuleta baadhi ya watu. Mechi mbili kubwa si kipimo halisi, bali kinachotakiwa ni kuwa na consistency na kuutawala mchezo.Wewe wa wapi tena?
1. Uliangalia ile derby ya Man U vs Liverpool? Nani alikuwa anaombea mpira uishe (kumbuka liverpool ndio timu bora kwa sasa)
2. Umeangalia hii mechi na arse8 akiwa kwake na tukiwa pungufu na mabeki wetu wote kila mmoja akiwa amepewa yellow?
United kwa sasa iko vizuri sana.