Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuanzia dakika hii 53' mnatakiwa kushinda sio chini ya goli 5. KENGE nyie
 

Attachments

  • Screenshot_20250206_001239_FotMob.jpg
    76.9 KB · Views: 2
Arsenal hii game mkipindua nitawapa Kongole

Ila naona Newcastle akishinda goli zaidi ya mbili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo anapigwa konzi kulingana na size ya kichwa yake.
Jitahidini wanangu mbona ni simple tu kupiga comeback ya goli 5, mbona hata mama sita mempiga 5 hivi ni vitu simple tu kwa Arsenyo.
 
Baada ya hii mechi mashabiki ndiyo watakumbuka kwamba Arteta aliahidi kusajili hii January.

Ushindi kwa City uliziba hii kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…