Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani unaona kabisa kuna mabeki warefu na miili kikubwa (Botman & Burn) bado unaendelea kupiga kona za aina ile ile. Kona zote aseno amepiga hakuna hata moja imetua kwenye kichhwa cha mchezaji wa aseno.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rahim Sterling hatrick, Kai Harvez 1 na Jojinyo 1 hatimae Chelsea imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Carabao baada ya kupiga comeback dhidi ya Nyukesto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…