makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwa umri, urefu, style of playing, mafanikio ama kulinganisha nini?Mourinho unaweza ukamlinganisha na kocha gani hapo kwako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.Jana kenge leo kuku ila hutasikia wakiulizwa kitu
Mafanikio..........nadhani wenger amemzidi huyo urefu tu.Kwa u
Kwa umri, urefu, style of playing, mafanikio ama kulinganisha nini?
Enhe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
Huu ukweli ni mchungu hatuutaki humu, tuletee takwimu za kai alivyo perfect footballer 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
Real siku hizi wamekuwa wachumi sana kwa hiyo pesa watajiuma uma sana.Madrid inamtaka Saliba.
Arsenal ipo tayari kumuuza kama Madrid itatoa angalau kuanzia 80M
Sidhani kama watashindwa kuitoa.Real siku hizi wamekuwa wachumi sana kwa hiyo pesa watajiuma uma sana.
Jesus yupi?Tusisikie mkilalamika kuhusu majeruhi ya King Kai, nyote humu kasoro mwanampotevu hamis77 mlikuwa hamumtaki.
Mna Jesus mtumieni kama namba 9 wenu sasa.