Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana kenge leo kuku ila hutasikia wakiulizwa kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
 
Enhe
 
mwisho wa matatizo 😁
IMG_20250210_161415_659.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
Huu ukweli ni mchungu hatuutaki humu, tuletee takwimu za kai alivyo perfect footballer 🤣
 
Madrid inamtaka Saliba.

Arsenal ipo tayari kumuuza kama Madrid itatoa angalau kuanzia 80M
 
Real siku hizi wamekuwa wachumi sana kwa hiyo pesa watajiuma uma sana.
Sidhani kama watashindwa kuitoa.

Mbape anakula 1M kwa wiki kwa huyu wanaweza nunua kwa hela kubwa na kumlipa decent ili kubalansi makaratasi
 
Kwa mpira wa siku hizi mchezaji inampasa awe anashinda mapambano yake, ikiwepo ground na aerial duals.

Huyu Mbappe na mwenzie Vini, ni wachezaji luxury sana. Washukuru wanacheza kwenye timu kubwa ambayo inapata matokeo, na hata timu zilizomo ndani ya ligi yao hazina ushindani wa hivyo. Ila ukiileta timu hii hii kwenye ligi ya uingereza sasa hivi wangekua wanapigania nafasi ya 13 na Man Utd.

Tena bora hata Vini, huyu Mbappe hata kukimbia tu timu yake ikiwa haina mpira hawezi. Pasi zinapigwa hapo hapo mbele yake yeye amesimama.

Tunamsema Kai, sawa sio mfungaji mzuri na general play yake sio nzuri. Ila kama unajitaji team player/mpambanaji, ni bora ya Kai kuliko Mbappe. Only because Kai can sacrifice for the team.

Mbappe ndio aina ile ile ya wachezaji wa kariba ya Rashford.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo miamba Bayern Munich wapo uwanjani wanakipiga na Celtic, Arsenyau ombeni sana Bayern asifanikiwe kuvuka hii hatua la sivyo Mechi inayofata ya Arsenyo atapangiwa na hawa wahuni wa Ujerumani na ndio itakua mwisho wa Arsenyo kwenye hii michuano ya ulaya.
1739367882384.jpg
 
Kai msimu wake ndo umeisha ,,,, ! Poleni majirani, sasa ni mwendo wa sterling kucheza false 9, hakuna rangi mtaacha kuona ,,, kijeba saka bado ndo kwanza ameanza mazoez mepesi !
 
Back
Top Bottom