Hii mikwara huwa unatupiga sana lakini siku ya tukio mnakutana na kitu kizito....Chelsea ni kikundi cha comedy sio timu ya mpiraEndelea kuota ,siku hiyo hichi kijiwe Chenu mtakikimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao machalii wa Tetea wameshindwa kuifunga Westham, Forest na Man Utd yangu mbovu ndio wangeweza kuwafunga vijana machachari wa Diego Semione?Atletico wamapaaaambwa humu na akina Flano na wenzake utafikiri ni booonge la timu. Mimi nilikuwa nasoma tu comments huku nacheka kwa dharau. Wale washukuru sana wametolewa. Wameokolewa kutoka kwenye noma moja mbaya sana ambayo wangekutana nayo na machalii wa Arteta. Yaani tungewapiga kama ngoma.
Ilimsaidia Sterling kuchangamsha mwili kidogo. Pia iliwasaidia akina Kiwior, Ben White, Jorginho, Tierney na Zinchenko kupata match fitness.Mechi kama ya jana ndiyo wakina Butler unawapa time.
Sielewi Arteta na benchi lake wanawaza nini
Tulikuwa tumejipanga kukutana na Livakuku semi final, ila wacha tu tukutane na hao hao PSG.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya. View attachment 3268917
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nataka Masingeli arudi kwanza ili tumalizane na Madrid, ila Masingeli alijua kuwachania watu mikeka, kuna kipindi alikua anawahimiza mashabiki wa Arsenyo kama hawana hela waweke hata nyumba zao na wake zao rehani wakaibetie Arsenyo inabeba ndoo 2023/2024Tulikuwa tumejipanga kukutana na Livakuku semi final, ila wacha tu tukutane na hao hao PSG.
Kwamba bwana hamis77 ndiye aliyemrubuni Adamu kula tunda πππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nataka Masingeli arudi kwanza ili tumalizane na Madrid, ila Masingeli alijua kuwachania watu mikeka, kuna kipindi alikua anawahimiza mashabiki wa Arsenyo kama hawana hela waweke hata nyumba zao na wake zao rehani wakaibetie Arsenyo inabeba ndoo 2023/2024
Lijamaa lilikua lina ushawishi sana lile, huenda hata Ever aliekutana nae kule kwenye bustani ya Adeni alikua ni Masingeli ila wanasiasa wakaamua kumsingizia shetani.
Hiyo mechi Arse8 anaenda kupata aibu ya mwaka. Madrid anaingia hiyo mechi akiwa na advance ya Ushindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina mkorea na arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya. View attachment 3268917
AgreedUEFA uwa ina zile crazy moments na mostly Madrid ndio vitu vyake, siioni Arsenal ikiwa na izo Elements.
Yaan unaamini huyu kaisha, from no where meza inapinduka.
Hatuna team ya kuitoa madrid labda bahati iwe upande wetu ila kwa Experience bado ni underdog kwa madrid.