Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata bahati ikiwa upande wenu haiwezi kuizidi bahati ya Madrid UEFA. Arteta amuone Tomas Thuchel ampe mbinu za kuitoa Madrid
 
🗣️Mikel Arteta on how Arsenal can beat Real Madrid in this season’s Champions League: “The first thing is that you have to be at your best when it comes to that for the two games, for every minute.

‘Don’t give anything away, because they’re going to take it. And today, we’ve seen that with the two goals that we’ve conceded as well, so that’s a big learning.

‘In the end, the game is going to be decided in the boxes, individual talent, individual performances is crucial, and then creating an unbelievable atmosphere when we have the opportunity to play at home, that is crucial.’
 

Attachments

  • IMG_20250313_132919_346.jpg
    145 KB · Views: 1
Madridi kayakanyaga

Atapigwa Hadi achakae ,Madrid amezoea kukutana na timu mbovu , akikaa vibaya atakula 3+ pale Emirates kwenye kapeti la kijani

Nimebanwa na majukumu ya kazi ,Unajua unapoaminiwa unapewa kampuni kubwa uiendeshe ,mambo mengi yanasimama,Madrid ni wakwaida sana ,ukidhibiti transition zao,

Kwanza kwa kiungo gani Madrid atatoboa mbele ya mighty Arsenal hii ,?
 
Umehamia majukwaa ya dini siku hizi.
Njoo mfarijiane hapa na wanao kina mkorea.
Flano jamaa karudi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hamis77 nimefurahi sana kukuona tena kwenye hili jukwaa, huu uliouonyesha sasa ndio uungwana wenyewe, unapoitwa unaitika.
Arsenyau kwa hio forward yenu ya kina Moringo na Sterling sidhani kama kina Rudiger watawaruhusu mpate hata shot on target.
Hapa kichwa yangu inawaza kwa namna gani mtaepukana na fedheha kutoka kwenye ule utatu mtakatifu wa Vini Jr, Mbappe na Rodrygo, yaani hapa naona kabisa Madrid wanavyoenda kuwalipia Psv zile goli 7 zao.
 
Jidanganye ,hao Madrid hawana midfield yakutisha, hata beki Yao ni sawa na manjesta ukimtoa rudiger

Mendy anageuzwa sana kama chapati ,halafu Saka atakuwa karudi

Kwahiyo tegemea kuona

Martinelli Trossard Saka

Vs

Valvede Asensio Rudiger Mendy

Sasa hapo nishindwe Mimi tu kupata goli 3

Midfield Yao Tapeli Tchoumen hatakuwepo, kwahiyo subiria kuona kina Ceballos ,Babu Modric na Muingereza Yuda Beligham,

Hapo Mimi nakuwekea


Declan Rice Partey na Ø

Waulize PSG Hawa waliomfanya kuku kishingo aonekane ni silolote sichochote

Madrid wamekuwa wakifunga timu mbovu ,
 
hamis77 Integrated Investment Co. LTD

Ni taasisi ,unaweza kuona nipo online humu kumbe anayeendesha akaunti ni Secretary wangu au Supervisor,

Mimi nimekuwa bize sana na majukumu ya kujenga Taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli banaaa, shauri yako watu tutashindwa kukusaidia humu na kukupa connection tukijua unajiweza kumbe bado unajitafuta.
 
Arsenal’s last goal scored from a corner was vs Tottenham Hotspur, in January.

Since then, the Gunners have played 12 games, and taken 94 corners, without success. ⛳️❌

😁
 

Attachments

  • IMG_20250313_191957_549.jpg
    64.8 KB · Views: 1
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli banaaa Yaani Madrid akitaka kukupa Uefa 5 bado anabakiwa na 10, hio jeuri ya kumtisha unaitolea wapi Arsenyau wewe?
 
Mjiandae kupigwa goli za kaunta na nzuri zaidi watu wa mbio wanao
 
Hicho kikundi cha comedy kitachukua kombe kabla yako false hopper.
Huo ubavu hamna braza.....mnaelekea kuwa Man U version 2....mnaitumia mihela mingiii halafu hamna mnapokwenda....j2 tutahakikisha ile nafasi ya 4 Pep Guardiola anarudi pale....ni dharau Chelkenge kuwa juu ya City hamna hio hadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…