[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu
hamis77 muda mrefu sana ulikua unatamani timu yako ikutane na Real Madrid ili muioneshe dunia kua Arsenyo ndio The best team in the world interm of pressing & overloading, positional interchange na flexibility bila ya kusahau aerial duel na set pieces.
Hatimae Mungu amesikia kilio chako na kuwakutanisha na mashababi wa Don Carlo, hivyo mimi pamoja na mashabiki wengine wote humu tumeshakusamehe kwa yote uliyokua unatudanganya, tunakuomba urudi kwenye hili jukwaa tugange yajayo.
Hakika hili jukwaa si lolote si chochote bila ya zile false hopes zako, chawa zako kina
mkorea na
arsenal2004 walijaribu kuvaa viatu vyako lakini havijawatosha, matokeo yake wameishia kupata matege kutokana na uzito wa viatu vyako, tunakuomba ndugu yetu Masingeli urudi humu ili tuyajenge upya.
View attachment 3268917