Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani hakuna yeyote katika wapenzi wa soka hapa au duniani kote ambaye angekubali utabiri wa kwamba L'pool wangewachapa MANU 4-1, wengi tungesema wanaweza kushinda lakini siyo kwa mabao mengi kiasi hicho. L'pool ni wazuri sana maana kuweza kuzifunga timu mbili bora za Ulaya MANU na RM mabao 8-1 katika muda wa siku chache ni achievement ya hali ya juu. Kama wasingekuwa na vigugumizi vya miguu wanapocheza na vitimu vidogovidogo kama Middlesborough basi wangekuwa wameshika usukani wa EPL.

Liverpool hawaaminiki, yaani hawana consistance. ni vigumu sana kuwatabiria japokuwa ni wazuri sana
 
Tumeshasema mtashika nafasi ya 4 na Wenger ataendelea kuonekana shujaa kwa kushika nafasi ya 4
 
Hi wikiendi nafikiri ni wikiendi ambayo mashabiki wa Arsenal walikuwa na furaha mno kwa miaka 4 ukiacha ile furaha ya kuifunga AC Milan
 
Hi wikiendi nafikiri ni wikiendi ambayo mashabiki wa Arsenal walikuwa na furaha mno kwa miaka 4 ukiacha ile furaha ya kuifunga AC Milan

Hapana mkuu umekosea,mi nafikiri ni weekend ambayo Liverpool walikuwa na furaha mno(kwa kipigo cha karaha walichotoa kwa MANURE),Pia ni weekend ambayo Man Utd walikuwa na huzuni mno kwa kipigo cha aibu ambacho walikipata toka kwa Liverpool....Kama ni furaha nadhani ungezungumzia mechi zile ambazo Arsenal waliwapiga Chelsea na Man Utd katika ngwe ya kwanza ya EPL na si kwa hawa wachovu Blackburn,heshima ichukue mkondo wake mkuu,ebo!!!!!!!!!!!
 
Arsenal kuna ukame wa pesa hivi sasa kutokana na mkopo wa ujenzi wa The Emirates. Kwa hiyo bei huyo bwana mdogo atauzwa tu labda akatae mwenyewe.

I heard somewhere, players in Arsenal are not being paid, they are playing in voluntary basis!
 
ni weekend ambayo Liverpool walikuwa na furaha mno(kwa kipigo cha karaha walichotoa kwa MANURE
Balantanda cha ajabu ni kuwa wameshinda Liverpool but mashabiki wa Arsenal wanashangilia utafikiri wameshinda wao

Pia ni weekend ambayo Man Utd walikuwa na huzuni mno kwa kipigo cha aibu ambacho walikipata toka kwa Liverpool

Hata hamna ujanja baada ya kuwanyanyasa kwa miaka karibu 5 msimu huu wamelipiza kisasi
 
Balantanda cha ajabu ni kuwa wameshinda Liverpool but mashabiki wa Arsenal wanashangilia utafikiri wameshinda wao

...'lottery' babuu, Man U walishajijengea aura ya kwamba wao kwa sasa ni Les INVINCIBLES! ile long run bila kufungwa hata bao moja iliwaletea kibri sana, kuna walioanza hata kusema eti mwaka huu watatwaa makombe matano!

...Binafsi nimefurahia hiyo reality Check walopewa na Liverpool, ...na bado!, vichapo vingine vinakuja!!!

...(Arsenal) nafasi ya kucheza Champions League hata kama matarajio ya kushinda ni sifuri, inalipa kuliko kucheza UEFA au intertoto...

Mbu unakumbuka hii?

Mr. Bean anawayeyusha tu, hamna kitu..

...hakika imani yangu imepungua sana kwa huyu 'Gaffer.' Mwenyewe anajitetea timu ilikuwa na majeruhi, kina Rosicky, Eduardo, Walcott, na Fabregas,...

...pengo la FLAMINI, na HLEB limetupunguzia kasi kubwa msimu huu, na imani yake potofu eti Bendtner ni top class striker badala ya kumsajili Obafemi Martin, au E'too wakati nafasi ilikuwepo,...

...no wonder Adebayor anaturingia siku hizi kwakujua hakuna competition ya mfungaji (...labda aliamini Eduardo hatapona!.)
 
Late Gallas Goal Sees Arsenal Past Hull City In FA Cup
The Gunners came from a goal down to dump Hull out of the FA Cup and book themselves a semi-final date with Chelsea.

Arsenal 2-1 Hull City

...te -he -he -he! Movie bado inaendelea, sterlingi bado hajafa! mwaka huuuuuuu we acha tu! 😀
 
I heard somewhere, players in Arsenal are not being paid, they are playing in voluntary basis!

No premier league team that doesn't pay its players; and they really really pay them. Ronaldo, Rooney, Ferdinand, Terry, Ballack and Lampard all get over 100,000 pounds per week. The highest paid player is Robinho, he gets over 150,000 per week.

No Arsenal player gets as much as that; the highest (Gallas, Arshavin, Ade and Fab) get 80,000 per week.
 
Hopeful tutawafunga Newcastle Jumamosi hii... Kama tukishinda hiyo mechi na huku Aston Villa (ukiangalia mechi zao za karibuni ni ngumu sana, they have Man Utd and Liverpool in two weeks time) wakiendeleza ku drop points, 4th place will be guaranteed!
 
Yani bado una wasiwasi na nafasi ya 4
 
nyie endeleeni kupigania nafasi ya nne,sisi tunawaza ubingwa zaidi,Man utd mpaka kufikia April 15 Chelsea tutakuwa tumechukua nafasi ya 1 kwenye msimamo.arsenal poleni sana,wapinzani wenu siku hizi naona wamekuwa Aston villa na Everton.Bendner hata yanga hatuwezi kumnunua.
 

View attachment 3932

...Champions League Quarter finals Draw inanukia... saa 5 -Asubuhi kwa saa za UK, 8 -Mchana kwa saa za Afrika Mashariki... macho, masikio, na matarajio/mfadhaiko nayaelekeza huko Nyon Switzerland!


  • [*]ARSENAL

    [*]BARCELONA

    [*]BAYERN MUNICH

    [*]CHELSEA

    [*]LIVERPOOL

    [*]MAN UNITED

    [*]PORTO

    [*]VILLAREAL


 
Quarter Final Draw!!!
Champions league Quarter finals Draw leo, 1100GMT
 ARSENAL
 BARCELONA
 BAYERN MUNICH
 CHELSEA
 LIVERPOOL
 MAN UNITED
 PORTO
 VILLAREAL

Msiulize hii Draw nimeitoa wapi,ila hivi ndivyo itakayokuwa hapo baadaye!

Man utd v Barca
Liverpool v Arsenal

Porto v Chelsea
B.Munich v Villareal

Timu zilizoanza kwenye orodha zikianza mechi nyumbani kama tulivyozoea.
 
Quarter Final Draw!!!
Msiulize hii Draw nimeitoa wapi,ila hivi ndivyo itakayokuwa hapo baadaye!...

Liverpool v Arsenal

...Timu zilizoanza kwenye orodha zikianza mechi nyumbani kama tulivyozoea.

...duh, kaka...dua nyingine hata sio za kujiombea. uongo mbaya, Liverpool 'wanatisha!' 🙁 ...'mw'mungu kama unatusikia, tuepushie hao jamaaa, duh!'
 

mambo mswano...

Tunakiputa hukooooo Spain na Villareal,....
kisha Semi final tunakiputa na mshindi baina ya Man U na Porto!

...................
View attachment 3934

........Neeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeext!!!!!!!!!!
 
Man utd v Barca
Liverpool v Arsenal
Porto v Chelsea
B.Munich v Villareal


Totally wrong ,jaribu tena next season
 
Lakini wandugu hivi vijamaa vibishi...angalia vilivyo msumbua Man U....anyway hope tutatoka!
 
It's obvious tht there is nothing like an easy match and easy opponent at this stage of the competition! I am optimistic we will go thru, just llike 2006!!
 
Back
Top Bottom