Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Mimi mtu akiwa muongo namchekecha hapo hapo. So nakupa evidence recent nyingine halafu nakuacha.
Game dhidi ya Crystal Palace kwenye EFL 24/25 Arsenal inaanza kuongozwa na Palace kwa goli la Mateta la dakika ya nne. Mechi inaisha Arsenal kashinda 3 - 2.
Mimi naongelea EPL sio hizo bonanza games[emoji3]. EFL matches za kujifurahisha hizo thats why most of the team wanaweka kikosi mbadala.
Turudi EPL tofauti na game ya juzi hakuna game mshawahi kufanya ivyo.
Game na Newcastle mlitiwa chuma dk za mwanzo ngoma ikaisha ivyo ivyo, Bournemouth pia fulham ngoma ikaisha kati .
Umesikia arteta alichosema “We as Arsenal in the last year we have been the best team in the league, broke various records and still haven't won a major trophy!”.
Yaani jiulize kama mlikua best na mkaondoka bila kombe lolote , ujumbe anatoa arteta ni kwamba inaitajika miujiza ili arsenal abebe kombe na si best form[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila fanyeni hata kitu wanangu wa zamani mnasikitisha mpaka huruma nawaonea mimi [emoji23][emoji23] msimu huu nawaombea mema.
False hoper mkuu mpaka jukwaa kalizira kabisa saivi yupo kwenye masuala ya israel na palestina huoni ni huruma hii.
Tukikaa vibaya hata castr , henry sijui mkorea tunaweza kuwapoteza na nyinyi kama alivyopotea mwenzenu mkakimbilia kwenye jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]