Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi mtu akiwa muongo namchekecha hapo hapo. So nakupa evidence recent nyingine halafu nakuacha.

Game dhidi ya Crystal Palace kwenye EFL 24/25 Arsenal inaanza kuongozwa na Palace kwa goli la Mateta la dakika ya nne. Mechi inaisha Arsenal kashinda 3 - 2.

Mimi naongelea EPL sio hizo bonanza games[emoji3]. EFL matches za kujifurahisha hizo thats why most of the team wanaweka kikosi mbadala.

Turudi EPL tofauti na game ya juzi hakuna game mshawahi kufanya ivyo.
Game na Newcastle mlitiwa chuma dk za mwanzo ngoma ikaisha ivyo ivyo, Bournemouth pia fulham ngoma ikaisha kati .

Umesikia arteta alichosema “We as Arsenal in the last year we have been the best team in the league, broke various records and still haven't won a major trophy!”.

Yaani jiulize kama mlikua best na mkaondoka bila kombe lolote , ujumbe anatoa arteta ni kwamba inaitajika miujiza ili arsenal abebe kombe na si best form[emoji23][emoji23][emoji23].

Ila fanyeni hata kitu wanangu wa zamani mnasikitisha mpaka huruma nawaonea mimi [emoji23][emoji23] msimu huu nawaombea mema.

False hoper mkuu mpaka jukwaa kalizira kabisa saivi yupo kwenye masuala ya israel na palestina huoni ni huruma hii.
Tukikaa vibaya hata castr , henry sijui mkorea tunaweza kuwapoteza na nyinyi kama alivyopotea mwenzenu mkakimbilia kwenye jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi ya ligi dhidi ya Southampton. 05th October 2024 Southampton inaanza kupata goli dakika ya 55 kupitia kwa Archer.

Mechi inaisha Arsenal inashinda 3 - 1

  • Una tabia ya kuandika maelezo marefu kwakua hauna uhakika na unachoandika.
  • Unahamisha mada unnecessarily.
  • Unapenda small victories na cheap thrills.
  • Mgumu kuona bigger picture.

Naweza jaribu kukisia yafuatayo:
  • You always seek validation
  • Stern family upbringing
  • Mzazi mmoja alikua responsible zaidi kwa makuzi na malezi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haya yote yanatoka wapi mkuu, game 2 kati ya game 5 ulizoanzwa kutanguliwa ndo umeshinda bado haikuweki kwenye hoja na kauli uliyotoa mwanzo.

Mimi nimekuonyesha zaidi ya game 3 ulizoanza kufungwa na ukatoka patupu nikimaanisha kauli yako si kweli.
Ukileta game 2 tu kama ndo utetezi wa hoja yako bado utakuwa unakosea .

Chelsea ana comeback 2, man utd 2 na arsenal nae 2 sasa kauli uliotoa technically ni kama arsenal ni master wa comeback vile wakati si kweli.

Team pekee ambayo hata ikifungwa watu hawashtuki wanajua itashinda ni liverpool tu game na soton, brighton, Leicester city, arsenal, fulham zote hizo kafanya comeback sasa ww game 2 unataka kuchukua sifa ambazo huna .

Haya ya sijui malezi na stern family achana nayo . Upbringing yangu imetoka kwa wazazi ambao walikua wanapendana reasons na sababu zenye mashiko zaidi. Ni kweli tangu nasoma kipindi hicho nilikua napenda mijadala zaidi kuliko chochote kile hata shule walikua wananiita mbishi . Mabishano nayapenda siwezi kukataa tena yawe ya kujenga hoja zaidi .

Lakini sasa mzee kukuchalenge kidogo tu mzee unakimbilia kwenye vitu visivyopo kabisa [emoji23][emoji23] huna ustamala mzee wangu anapenda kusema ivyo . Argument iwe argument usikimbilie kwenye personal attack , personal attack ni dalili ya kushindwa.

Yote kwa yote vipi kombe mnachukua ?? Naona saivi unalikataa kabisa ila ni maombi yangu mlichukue wanangu [emoji38] nipo pamoja nanyi .
 
Arsenal kapoteza mechi 2. Wewe hizi tatu umezitoa wapi?

Sijafanya personal attack. Nimehisi personality yako kutokana na maandishi yako.

Psychopath liar. Unajua kabisa kitu siyo kweli ila hicho hicho unakipresent kama ukweli. Kisha unasingizia ni unamchallenge mtu. Why? Coz you seek validation na small victories.

Kuna tofauti ya kujenga hoja na kuandika uongo. Naweza jenga hoja na yeyote, nikakubaliana katika anachosema au nikapinga, ila mtu muongo hua naacha aongee na wengine.

Hizi tabia hua naziona kwa mashabiki wa mpira wa Tz. Unabisha timu haijawahi kuanza kuongozwa, unatajiwa mechi unasema hilo siyo kombe kwenye ligi hajawahi unatajiwa nyingine unahamisha magoli.
 
Kulikua na taarifa kwamba Arsenal inakaribia kufanya makubaliano na mchezaji ambaye imegoma kumtaja.

Ripoti zinasema mchezaji wanayefanya naye makubaliano ni Mathias Cunha. Hata hivyo Wolves hawawezi kukubali kumuachia January
 
Mimi naongelea EPL sio hizo bonanza games[emoji3]. EFL matches za kujifurahisha hizo thats why most of the team wanaweka kikosi mbadala.

Turudi EPL tofauti na game ya juzi hakuna game mshawahi kufanya ivyo.
Game na Newcastle mlitiwa chuma dk za mwanzo ngoma ikaisha ivyo ivyo, Bournemouth pia fulham ngoma ikaisha kati .

Umesikia arteta alichosema “We as Arsenal in the last year we have been the best team in the league, broke various records and still haven't won a major trophy!”.

Yaani jiulize kama mlikua best na mkaondoka bila kombe lolote , ujumbe anatoa arteta ni kwamba inaitajika miujiza ili arsenal abebe kombe na si best form[emoji23][emoji23][emoji23].

Ila fanyeni hata kitu wanangu wa zamani mnasikitisha mpaka huruma nawaonea mimi [emoji23][emoji23] msimu huu nawaombea mema.

False hoper mkuu mpaka jukwaa kalizira kabisa saivi yupo kwenye masuala ya israel na palestina huoni ni huruma hii.
Tukikaa vibaya hata castr , henry sijui mkorea tunaweza kuwapoteza na nyinyi kama alivyopotea mwenzenu mkakimbilia kwenye jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona mwanaume anaandika ujumbe na miemoj mingi ujue ni SHOGA
 
Arsenal kapoteza mechi 2. Wewe hizi tatu umezitoa wapi?

Sijafanya personal attack. Nimehisi personality yako kutokana na maandishi yako.

Psychopath liar. Unajua kabisa kitu siyo kweli ila hicho hicho unakipresent kama ukweli. Kisha unasingizia ni unamchallenge mtu. Why? Coz you seek validation na small victories.

Kuna tofauti ya kujenga hoja na kuandika uongo. Naweza jenga hoja na yeyote, nikakubaliana katika anachosema au nikapinga, ila mtu muongo hua naacha aongee na wengine.

Hizi tabia hua naziona kwa mashabiki wa mpira wa Tz. Unabisha timu haijawahi kuanza kuongozwa, unatajiwa mechi unasema hilo siyo kombe kwenye ligi hajawahi unatajiwa nyingine unahamisha magoli.

Match alizoanza kufungwa ni match 5 kashinda 2 na tatu hakushinda . Game na soton, brentford, fulham, Newcastle and Bournemouth kati ya hizo kashinda ya brentford na soton pekee.
 
Ukiona mwanaume anaandika ujumbe na miemoj mingi ujue ni SHOGA

Akili ndogo kama kisoda hio, unajua maana hata ya emoji na kwanini zipo?? Emoji allow you to vividly express your feelings and emotions which at times may not be possible by simple letters and texts.

Kama kutumia emoji ni ushoga according to your perspective basi the first shoga ni wewe na sisi mimi
IMG_2464.jpg
 
Newcastle tangu wagundue hii mbinu ya kumuweka namba 6 Tonali wamekua wanatembea sana.

Jamaa mmoja wa nyumbu akaandika "Yaani sisi tumewekewa wahuni wawili wa America ya kusini (akimaanisha Bruno na Joelinton) na mkamaria mmoja (akimaanisha Tonali) kisha sisi tukapeleka matatizo"

In all seriousness kitakachowatesa Spurs ni kipa (ingawa leo kambadilisha Forster) na defense kisha ishu za MID zinakuja baadaye. Na shida nyingine ni Ange kukomaa kwamba yeye habadiliki anavyocheza. So ameopt kutumia speed kuwin hii game.

Ameweka forwards ambazo zina pace na fullbacks wenye pace pia. Ila mid naona anafanya majaribio.

Funny issue ni kwamba Newcastle akishinda anajiweka nafasi nzuri kumchomoa kenge alipo. Spurs na Kenge ni watani pia so itakua ni matusi akatumika kama daraja.

Usually mechi yao hua intense. Mwenye muda aiangalie
 
Tayari washanyooshana
 
Ange aliweka benchi starters 3.

Amenyooshwa kawaingiza
 
Kama ilivyotarajiwa. Partey karudi RB. DM kawa Jorginho, kwa kujua kwamba jamaa ni slow imebidi Rice aanzishwe. Hii yote ni kuhakikisha blunder ikifanywa na Nwaneri defense coverage ipo.

Screenshot_2025-01-04-19-39-02-722_com.instagram.android-edit.jpg
 
Back
Top Bottom