Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Hii game ni kama Arsenal wanamcheche. Wanafanya kila kitu isipokuwa ufungaji tu. Hizi nafasi zinazopotezwa huwa na malipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuwezi kukosa magoli ya wazi hivi halafu mtegemee mshinde.Sijui amekosaje pale
Unajua nini...naliona kabisa hilo likitokeaHamuwezi kukosa magoli ya wazi hivi halafu mtegemee mshinde.
Pamoja na upungufu na mapungufu yetu hii game tunawagonga sio kwa sababu ya ubora wetu bali ni kutokana na gundu lenu.
Amepoteza confidenceOdegaard ambaye ni mguu wa kushoto anaacha kushuti akiwa sehemu ya kuweza kushuti anampasia mwenzake ambaye ni mguu wa kulia
Hapo bado unaambiwa tunaletewa Rashford, baada ya sterling kufeli