Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Odegaard uwezo wake umepungua sana aisee.. Ukiachana tu na kukosa penalty ambapo bahati mbaya zipo lakini hata anapokuwa na mpira kwenye dimba la mwisho unaona kabisa kuna muda kama akili yake inasimama. Okay, siku hizi imeonekana kona ndio suluhisho kwetu lakini kupiga kona anashindwa, anakuja kupiga kona tayari amepishana na movement za wachezaji wa Arsenal kiasi unakuta tayari wameshakabwa. Tofauti na upigaji wa Saka au Declan Rice..
 
IMG-20250112-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom